Recent content by Mrugaruga soldier

  1. M

    JamiiForums Tanzania Wema Sepetu abwagwa kwenye kura za maoni ubunge wa viti maalum Singida

    Kwa hivyo huyu nae ameisha nyooka?
  2. M

    JamiiForums Tanzania TBC kama kawaida washaanza kuonyesha vita ya Kagera

    Bahati nzuri hakuna mtu anaangalia tbc
  3. M

    JamiiForums Tanzania Rais Kikwete ziarani Australia

    Hahaha! Magari ya dar-South. Labda ingemchosha kidogo
  4. M

    JamiiForums Tanzania Diamond alewa sifa na kutukana hadharani

    Mimi ni mshabiki wa diamond, lakini yeye kama icon ya taifa, hakutakiwa kufanya hivyo. Hata kama kuna haters, unawapuuza
  5. M

    JamiiForums Tanzania Kuhusu Kamanda Halima Mdee na Kura za Maoni Jimbo la Kawe

    Nilikuwa nimeshaanza kupata presha
  6. M

    JamiiForums Tanzania Tundu Lissu ahutubia wakazi wa Geita Mjini katika viwanja vya Nyankumbu

    Mkuu umetema madini sana. Umemaliza!!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu Nyerere hakuwahi kuvaa vazi la CCM 'kijani na njano'?

    Nyerere ana akili zake timamu, hawezi vaa sare za ccm
  8. M

    JamiiForums Tanzania Zitto, wabunge 50 uliosema watahamia ACT - Wazalendo wako wapi?

    Ni kichaa tu ndo anaweza msikiliza huyu 'kiongozi mkuu' wa ACT
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mbunge wa Kahama kupitia CCM, James Lembeli ajiunga na CHADEMA rasmi

    Hongera kamanda, bado Esther bulaya
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mbowe atajwa kuwa kiongozi bora wa upinzani Afrika

    Hongera kamanda mbowe
  11. M

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    Sijawahi kusikia majambazi yanafukia fedha ardhini mpaka alipokuja kusema Kova, halaf hizo bunduki zimeibiwa wiki tu, kwanini ziwe na kutu hivyo kama Zina miaka mitano chini?
  12. M

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    Mimi hizi habari za Kova siziamini hata siku moja. Ameanza kuleta sinema zake. Mtaamini mkisikia wamepora kituo kingine
  13. M

    JamiiForums Tanzania Diamond Platinumz Fans' Special Thread: Njooni tukutane hapa

    Wekeni hiyo link ya tuzo mpya ya afrimama watu tufanye kazi
  14. M

    JamiiForums Tanzania Natafuta shule nzuri Arusha au Moshi

    Mmmh mkuu, unataka kumuingiza choo cha kike, gharama ya braibun mtoto wa nursery analipa million 9 kwa mwaka, hapo ni baby class. Piga picha secondary... Anyway huwezi jua mfuko wake. Mpeleke St. Monica, ni ya masista mchanganyiko toka kote duniani. Wako vizuri
  15. M

    JamiiForums Tanzania Watuhumiwa watano wa tukio la Stakishari watiwa mbaroni

    Yale yale ya sinema ya ulimboka ya kumshika taahira eti ndo alikuwa anamtesa ulimboka, na ile sinema ya amboni. Nimemchoka huyu macho kumchuzi
Back
Top Bottom