Zitto, wabunge 50 uliosema watahamia ACT - Wazalendo wako wapi?

Zitto, wabunge 50 uliosema watahamia ACT - Wazalendo wako wapi?

Zitto huwa anaongea tu haelewi hata anachoongea,tushamzoea usipoteza mda wako kwa huyo mtafuta sifa
 
Mkuu wapo subiri wakikatwa ndo utawaona,hata hawa wanaoenda CDM wataishia ACT kutafuta ulaji
 
Bado....nani alijua Machali ataenda ACT? siasa bila unafiki haiendi
 
harakati za ACT ni kama mbio za mwenge , nitajie mradi wowote uliozinduliwa na mbio za mwenge uliodumu hata miezi 6 .
 
Wewe hata mtetezi wake mkubwa wa mwanzo mwanzo Mwalimu Kaijage kamshtukia kwamba jamaa zuga akaamua kuingia mitini, hata mcubic katuliza boli siku hizi, tusubiri tuone mwisho wa movie ya ZZK
 
Hadi Mzee Arfi hamwamini na ndio maana katimkia CCM na kumwacha solemba
 
Ni hawa hapa
1.Machali
2.Afande selle
3.Zitto mwenyewe
4.Kitila
5. .











50.Act
 
Huyu hasira zake tunajua zinakolenga nini.....CHAMA KINDA lbd baada ya miak 20 hv.
 
Alimaanisha
Makinda
Pinda
Werema
Ashunta mshana
Sofia simba
...
....
 
They say in Scotland "You will wait until the cows come back"

Kama mpaka sasa hivi una amini kila kitu Zitto anachosema you are most likely to believe in anything!!
 
Huyu Kamati ya Buzwagi ilimmaliza, alipigwa alama ya 666
 
Back
Top Bottom