Anwarite girls ya moshi Wako vizuri Sanaa academical na Maadili ipo juu. Arusha Kuna precious blood ma st. Theresa
Katika shele zenye viwango vya kimarekani St. Jude inaongoza japo hizo shule ni za bure kwa watoto maskini tu wenye akili safi sidhani kama wanachaji ada ninavyojua hawachaji hata thumni.St jude nayo iko poa
weeeeee weeeeeee International School of nin ?? mkuu hiyo school ada yake ni million 40 kwa mwaka utaweza ? kama wewe ni ndugu yake James Rugemarila sawa mpeleke.Kama pesa ipo mpeleke Braibun au
St. Constantine au International School of Moshi katika shule za kimataifa Arusha na Moshi hizi ndio the Leading ila wanaosoma huko ni watoto wa vigogo na wau ubalozini, UN, na kutoka Mataifa mengine ulimwenguni.
Nilienda kwenye visiting day wazazi wamepaki elkopta kama bodaboda na magari ya maana.
Mmmh mkuu, unataka kumuingiza choo cha kike, gharama ya braibun mtoto wa nursery analipa million 9 kwa mwaka, hapo ni baby class. Piga picha secondary... Anyway huwezi jua mfuko wake. Mpeleke St. Monica, ni ya masista mchanganyiko toka kote duniani. Wako vizuriKama pesa ipo mpeleke Braibun au
St. Constantine au International School of Moshi katika shule za kimataifa Arusha na Moshi hizi ndio the Leading ila wanaosoma huko ni watoto wa vigogo na wau ubalozini, UN, na kutoka Mataifa mengine ulimwenguni.
Nilienda kwenye visiting day wazazi wamepaki elkopta kama bodaboda na magari ya maana.
weeeeee weeeeeee International School of nin ?? mkuu hiyo school ada yake ni million 40 kwa mwaka utaweza ? kama wewe ni ndugu yake James Rugemarila sawa mpeleke.
Pale Braibun wengi ni watoto wa kimarekani na wa ulaya wachache wa kiafrika ma asia ila kama pesa ipo ampeleke tu atapata experience ya mbele.Mmmh mkuu, unataka kumuingiza choo cha kike, gharama ya braibun mtoto wa nursery analipa million 9 kwa mwaka, hapo ni baby class. Piga picha secondary... Anyway huwezi jua mfuko wake. Mpeleke St. Monica, ni ya masista mchanganyiko toka kote duniani. Wako vizuri
Braeburn Ada yao siyo hiyo mkuu wacha KambaBrabun School Arusha school fees 2015/2016 kuanzia mtt mwenye umri wa miaka 12--.. ni UD DOLLARS 13606
Mimi nimeangalia kwenye website yao....haya niambie ni Dollar ngapBraeburn Ada yao siyo hiyo mkuu wacha Kamba
Kuna wanaolipa ada mkuu siyo wote wako pale kwa ufadhiliKatika shele zenye viwango vya kimarekani St. Jude inaongoza japo hizo shule ni za bure kwa watoto maskini tu wenye akili safi sidhani kama wanachaji ada ninavyojua hawachaji hata thumni.
SHULE ADA M31 MKUU SIWEZI MPELEKA MTOTO HAPO HIYO PESA NI PENSION YA RETIRED TEACHERKuna wanaolipa ada mkuu siyo wote wako pale kwa ufadhili
Usa River Academy-ArushaWanajamvi, naombeni mnisaidie,
Mtoto wangu wa kike anamaliza darasa la saba mwaka huu. Nisaidieni kupata shule bora. Iwe Arusha au Moshi:
1. Iwe shule yenye kuzingatia maadili
2. Inayofanya vizuri ki academic
3. Ikiwa ya mchepuo wa sayansi ni bora zaidi
4. Napendelea zaidi shule za Catholic.
The school tuition fees in US$ for the 2015/16 academic year are as follows:Braeburn Ada yao siyo hiyo mkuu wacha Kamba