Aljazera
JF-Expert Member
- Feb 11, 2015
- 637
- 224
Matumizi mabaya ya pesa ,atuonee huruma watanzania hizo pesa zingeweza kununulia dawa zikapelekwa kwenye zahanati zetu
Unasema kupeleka dawa Zahanati wakati Hospitali kibao za Wilaya hazina hata Panadol!!