Jamaa alikuwa kasafiri akaenda guest house kumpunzika kufika aka amua amtumie masseji mke wake kumbe alikosea namba ika enda kwa mwanamke alie toka kufiwa na mume wake siku mbili zilizo pita yule mwana mke mjane alivyo isoma ile meseji aka zimia ghafla mtoto wake akaja kamkuta mama yake kazimia...
Tukiwa tunafanya maandalizi ya kupata Rais 2015 unahisi nani anafaa kati ya hawa kuwa Rais.
1. Edward Lowassa
2. John Pombe Magufuli
3. Wilbroad Slaa
4. Asha Rose Migiro
5. Freeman Mbowe
6.Ibrahim Lipumba
7. January Makamba
8. Bernard Membe
9. Mizengo Peter Pinda
10. Dovutwa Dovutwa
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.