Recent content by Mrs Gudman

  1. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

    Hizo hizo wengine wanazofanya Hahaha hahaha
  2. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

    Hii inaweza kuwa sababu yenye mashiko kabisa
  3. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

    Kweli nipe connection tumsaidie dogo
  4. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Dodoma kuna shida gani mbona kupata kazi kwenye Private Sector ni ngumu sana?

    Kuna ndugu yangu alikuja Dodoma kutafuta pa kufanya kazi Baada ya kumaliza chuo, Ni mwaka wa pili huu kazi hapati, wala hata kuisikia zikitangazwa hamna. Kazi nyingi zinatangazwa location ni Dar, Bado naji uliza nafasi za kazi kwa Dodoma zinatangaziwa wapi?
  5. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Wabongo Mnalima Mpira mtavuna mpira

    Siupendia siupendi
  6. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

    Tayati mkuu mimi imeingia muda huu huu
  7. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Mshahara wa mwezi huu July 2023, tutarajie makubwa!

    Mungu wangu nilikuwa nabisha nimeangalia sms hakuna hata cent moja iliyoongezwa[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
  8. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Ni kosa gani ulilifanya kwenye ujenzi wa nyumba yako na usingependa wengine walirudie?

    Anyway yangu siwemi ila nimejifunza
  9. Mrs Gudman

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Tuko msibani kwao na mke wangu halafu mke wangu hata hanijali

    [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Dah
  10. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Utumishi wanaposema MDS and local Government wana maana gani?

    LGA's Local Government Athorities (Serikali za mitaa,, kwa maana ya Halmashauri za Miji, majiji na Wilaya) MDA:Ni mashirika ya Umma Tanesco, TPA, TRA, NHIF etc
  11. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Maisha yangu baada ya miaka 37!

    Una 1.3 take home, una maanisha milion na laki tatu au laki na thelasini?
  12. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Makamba anapewa nguvu na huyu Muhindi aje aifanyie nini Tanzania?

    Mimi sio muumini wa ubaguzi wa Rangi, kabila wara elimu na vingine vingi. Nimeishia hapo
  13. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania USHAURI: Niliacha kazi Serikalini kutokana na mazingira magumu ya kazi miaka miwili imepita, baada ya mambo yangu kutengemaa nataka kurudi

    [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] [emoji1787] Kwa kifupi ulikurupuka maji yamefika shingoni sasa unajutia Pole Si rahisi kurudi kazini tena labda kama hukuwa na chek namba Pambana huko ambako kipato ni kikubwa
  14. Mrs Gudman

    JamiiForums Tanzania Kuna watu wanajiona wana mikosi ila hawajamfikia huyu mwamba

    Roho ya kukataliwa
Back
Top Bottom