Recent content by mrs basa

  1. mrs basa

    Hatimaye nimeamua kuachana na mpenzi wangu anayependa mapenzi kinyume na maumbile

    Kilichomfanya aache na kujutia ni kwamba anajua kua anamtenda Mungu dhambi, MADHARA ya kimwili na kumkosea Mungu kipi ni hatari zaidi? Huenda hata MADHARA hayajui vizuri kikubwa nikwamba hataki kumtenda Mungu dhambi, Nampa hongera sana kwakweli, Mungu amsaidie
  2. mrs basa

    Machungu ya kukosa ajira

    C kweli Kwa mwajiriwa anapata mkopo vizuri tu Kwa serikalini ninauhakika ila Kwa private cjui
  3. mrs basa

    Machungu ya kukosa ajira

    Afadhali hata ajira, watumishi wanapenda kusema et nako kugumu, kama kugumu mbona wananga'angania tu vyeo huko, mtumishi anauhakika wa kula sio saw na majobless
  4. mrs basa

    Ahadi za uongo za marafiki

    Hahaha, nimecheka Kwa sautj, nina dada yangu nae yuko hvyo, utasikia saiz Niko mbali na vibanda vya Mpesa , ngoja nitume ata mtu akakutumie. Ukipiha cm haipokelewi tena
  5. mrs basa

    Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

    Kamwe usilipe kisasi kumkomoa mumeo ,nausijaribu kumfanya ajue unachepuka , anaweza akkakuacha,,
  6. mrs basa

    Nifanye nini? Nataka mume wangu aumie kama ninavyoumia mimi

    Huwez kushindana nae hata sku Moja mwenzako ni tabia yake ww unaigiza usithubutu kabisa kulipa kisasi, usimfuatilie jifanye kama hujali anayoyafanya ni ngumu sana kupotezea ila jitahidi ujifanye naww huna mda nae na uko bize na mambo yako, akitaka haki yake mpe haijalishi una maumivu kiasi gani...
  7. mrs basa

    Kwenye mkataba nimemwandika kama mrithi Ila yeye kamwandika baba yake

    Kuna mwanasheria nilimsikiliza alisema aliyeandikwa namarehem kama mrithi huyo ndiye mrithi atakayetambuliwa, na kama hakuandika mrithi basi warithi ni mke na watoto, lakini watachgua mtu wakusimamia hizo Mali kutoka katika ukoo nahapa ndipo tabu huanzia, maana wasimamizi wengi hua sio waaminifu
  8. mrs basa

    Kwenye mkataba nimemwandika kama mrithi Ila yeye kamwandika baba yake

    Yaani shda inakuja pale ambapo mmoja akitangulia mbele ya haki, akitangulia mke Mme Hana shda coz hakuna atakayefatilia Mali zilizobaki lakini akitangulia Mme kama hakuna nyaraka za urithi ndugu wa Mme huja juu kiasi hata cha kumfukuza kwenye nyumban yake, nawatoto hubaki ktk shda kama mama...
  9. mrs basa

    Simba inaweza kuanzia preliminary siyo lazima kila mwaka timu 10 zianzie first round

    Mwaka huu timu ziko 58 na ni timu sita tu zitakazoanzia mkondo wa kwanza
  10. mrs basa

    Huu mdororo wa uchumi wa dunia ni wa makusudi, kuna kitu kinatengenezwa

    Authors bro plz nivitafute au kama unavyo vitume hapa
  11. mrs basa

    BEIJING: China yapIga Marufuku usafirishaji wa Mchanga kutoka China kwenda Taiwan

    Umenifanya nicheke sana, mpaka siyo poa aisee
  12. mrs basa

    Vituko mitandaoni. Tupia chako

    Kama 29 hivi kumbe ni 20
  13. mrs basa

    Vyeti muhimu kuverify ajirapotal

    Mm ya kwangu haifunguki nilipopiga kwenye zile namba za huduma kwa wateja aliyepokea amemjibu wala cjui hizo habari za ajira portal
  14. mrs basa

    Jinsi ya Kushughulika na Mtoto Mwenye Milipuko ya Hasira

    Kipigo heavy mpaka hasira zinapoa mbona simpo tu
Back
Top Bottom