Recent content by mrregion

  1. M

    JamiiForums Tanzania Watumishi wa Umma:Serikali imetukata mishahara yetu bila taarifa

    Mi sh 10000 imechukuliwa kama ilivyo
  2. M

    JamiiForums Tanzania DDD kwa combination ya HGE

    Kwa ufaulu wa mwaka huu usitegemee sana kupata udsm
  3. M

    JamiiForums Tanzania Mume wangu hapendi sex

    Umemshauri kiungwana sana mwelewa ataelewa vizuri sana
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kwanini vijana wa Tanzania wanazeeka haraka?

    Kuzaliwa mwanaume mateso mateso kuhangaika. Nitarudi tu kwenye enzi zangu maana maisha yamenipiga ila napigana nayo ili nirudishe zangu heshima
  5. M

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Marlaw?

    Siku hizi wanabebwa na video zipo clear sana ila hakuna ujumbe.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Unamkumbuka Marlaw?

    Nikikumbuka sup za chuo kikuu huwa nakosa ujasiri wa kurudi chuo. Sikuwahi kupata sup ila wanangu walikuwa wanatia huruma sana. Unakuta vyuma 4 kati ya tisa ni sup alafu lecturer wa masomo hayo mkuda hatariii. Shikamoo economic
  7. M

    JamiiForums Tanzania Waziri Kalemani: Wilaya ya Chato itakuwa miongoni mwa Majiji Makubwa nchini

    Mkuu kwa utawala huu lolote linawezekana kwa 100% and no one can reason
  8. M

    JamiiForums Tanzania I don’t wanna marry him, what should I do?

    Tittle ya kizungu maelezo ya kiswahili.
  9. M

    JamiiForums Tanzania WhatsApp imepata tatizo gani ?

    Mi leo kiukweli hadi nilipiga chini wasap ila nikadownload nyingine tatizo lilelile. Kazi za ofisi leo ngumu sana hadi nimeacha kiporo
  10. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada kupata salary slip

    Mbona ipo active Mkuu au shida mtandao?
  11. M

    JamiiForums Tanzania Msaada: Amemeza vidonge vya p2 jana ila leo ametapika

    Unatushawishi tushiriki kuua
  12. M

    JamiiForums Tanzania RC Makonda amuomba radhi Rais Magufuli na watanzania wote kwa kipigo ilichopata Taifa stars

    Hahaaaa bora ntulie mie maana naona mbele giza. Msemaji wa timu ya taifa
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hapa nimebambikizwa au nimeibiwa mtoto?

    Duh. Wanawake Mungu anawaona
  14. M

    JamiiForums Tanzania Hapa nimebambikizwa au nimeibiwa mtoto?

    Njoo pm
Back
Top Bottom