Recent content by Mrope Sir

  1. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi ya fedha nikiweka milioni moja napata riba ya laki moja kwa mwezi?

    Nataka kutunza fedha sh milion moja, Je ni taasisi ipi ambayo inaweza nipatia interest ya sh laki moja kwa mwezi kwa kiasi hicho cha fedha (sh mil moja)?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Taasisi za kifedha Tanzania

    Naomba kufahamu taasisi za kifedha za Tanzania ambazo unaweza kuweka fedha na kupata riba nzuri baadae kama ilivyo fixed account (Benk). Nisaidieni wadau, natanguliza shukrani za dhati!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Lain za halotel za chuo

    Kwa ambaye tayar amepata lain za halotel za chuo naomba anipatie bei na dk,mb,sms nk
  4. M

    JamiiForums Tanzania Fedha za TP

    Ahsante
  5. M

    JamiiForums Tanzania Fedha za TP

    Kwa wale wazoefu naomba ushauri, mimi sijapata ela ya fld vp nikifuatlia naweza pata?
  6. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke anaweza kujua kama ana mimba ndani ya masaa 24 tangu alipofanya tendo?

    Hivi mwanamke anaweza kujua kama ana mimba ndani ya saa 24 tangu alipofanya mapenzi? Naomba majibu ya swali hilo.
  7. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Natafuta rafiki wa kike Lindi/Mtwara

    Naomba ni PM
  8. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wale wa Mtwara/Lindi

    Kama we ni mrembo wa mkoa tajwa hapo juu ni PM tuwasiliane!
  9. M

    JamiiForums Tanzania John Francisco azidi kupora pesa za wana U-DOM

    Waandishi wa habari wafka UDOM jpl 21/6 jion kupata abc za Ufujaji wa fedha uliofnywa na serkal iliyomalza muda wake!
  10. M

    JamiiForums Tanzania Mwenye ufahamu Mwenge sekondari, Singida

    Kama unafahamu chochote kuhusu shule ya sekondari Mwenge Singida samahani tupia apa au unaweza nipm au 0683776379
  11. M

    JamiiForums Tanzania wanaosoma/waliosoma Mwenge sec

    Samahani sana wakubwa naomba niwasiliane na watu tajwa hapo juu kupitia 0683776379
  12. M

    JamiiForums Tanzania Wanafunzi Kwiro Sek

    Waliosoma/wanaosoma Kwiro sekondari naomba msaada tuwasiliane 0683776379/0764268734
  13. M

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kudownload video

    Naomba maelekezo namna ya kudownload video za mpira youtube kwa urahisi zaidi
  14. M

    JamiiForums Tanzania HESLB wameanza kupokea appeals

    Upo chuo gan maana sisi uku wa transfer majanga kwan bado akijaeleweka
  15. M

    JamiiForums Tanzania Kwa wale wa transfer

    Tuliohama kutoka chuo kimoja kwenda kingine kuna ambao tayar wameshapata mkopo?
Back
Top Bottom