Taasisi za kifedha Tanzania

Mrope Sir

Member
Oct 4, 2014
41
0
Naomba kufahamu taasisi za kifedha za Tanzania ambazo unaweza kuweka fedha na kupata riba nzuri baadae kama ilivyo fixed account (Benk). Nisaidieni wadau, natanguliza shukrani za dhati!
 
Weka accessBank. Sasa hivi anatoa promotion. Mimi nimeweka 80m kwa kila mwezi wananipa 14.9% kwa utaratibu ufuatao:- 80,000,000 x 14.9/100 = 11,920,000 per annum. 11,920,000 - 1,192,000 (kodi ya Serikali) = 10,000,000 (faida yako halisi kwa mwaka). 10,000,000/12 =833,333 (faida kwa kila mwezi). Mimi ninachukua faida yangu ya Tshs.833,333 kila mwezi kutokana uwekezaji wangu wa Tshs.80,000,000. Ukiamua kuchukua baada ya miezi mitatu, sita, mwaka faida inakuwa kubwa.
 
Heßa
Weka accessBank. Sasa hivi anatoa promotion. Mimi nimeweka 80m kwa kila mwezi wananipa 14.9% kwa utaratibu ufuatao:- 80,000,000 x 14.9/100 = 11,920,000 per annum. 11,920,000 - 1,192,000 (kodi ya Serikali) = 10,000,000 (faida yako halisi kwa mwaka). 10,000,000/12 =833,333 (faida kwa kila mwezi). Mimi ninachukua faida yangu ya Tshs.833,333 kila mwezi kutokana uwekezaji wangu wa Tshs.80,000,000. Ukiamua kuchukua baada ya miezi mitatu, sita, mwaka faida inakuwa kubwa.[/

Hesabu zako ziko vibaya kidogi Mkuu Tshs 11,920,000 - 1,192,00 haiwezi kuwa 10,000,000 bali ni 10,728,000 na hizo Hesabu hapo chini zitabadirika
 
Weka accessBank. Sasa hivi anatoa promotion. Mimi nimeweka 80m kwa kila mwezi wananipa 14.9% kwa utaratibu ufuatao:- 80,000,000 x 14.9/100 = 11,920,000 per annum. 11,920,000 - 1,192,000 (kodi ya Serikali) = 10,000,000 (faida yako halisi kwa mwaka). 10,000,000/12 =833,333 (faida kwa kila mwezi). Mimi ninachukua faida yangu ya Tshs.833,333 kila mwezi kutokana uwekezaji wangu wa Tshs.80,000,000. Ukiamua kuchukua baada ya miezi mitatu, sita, mwaka faida inakuwa kubwa.
Unawekeza 80m ili upate return ya laki 8 kwa mwezi!? Unless kama huna business idea yoyote ile lkn kwa akili ya kawaida huwezi kufanya hivyo
 
Weka accessBank. Sasa hivi anatoa promotion. Mimi nimeweka 80m kwa kila mwezi wananipa 14.9% kwa utaratibu ufuatao:- 80,000,000 x 14.9/100 = 11,920,000 per annum. 11,920,000 - 1,192,000 (kodi ya Serikali) = 10,000,000 (faida yako halisi kwa mwaka). 10,000,000/12 =833,333 (faida kwa kila mwezi). Mimi ninachukua faida yangu ya Tshs.833,333 kila mwezi kutokana uwekezaji wangu wa Tshs.80,000,000. Ukiamua kuchukua baada ya miezi mitatu, sita, mwaka faida inakuwa kubwa.
Yaani hapo ndio unaona umepata aisee??
Tshs 833,333/= kwa mwezi inabidi apate mtu aliewekeza kwenye 20Mil hivi
 
Weka accessBank. Sasa hivi anatoa promotion. Mimi nimeweka 80m kwa kila mwezi wananipa 14.9% kwa utaratibu ufuatao:- 80,000,000 x 14.9/100 = 11,920,000 per annum. 11,920,000 - 1,192,000 (kodi ya Serikali) = 10,000,000 (faida yako halisi kwa mwaka). 10,000,000/12 =833,333 (faida kwa kila mwezi). Mimi ninachukua faida yangu ya Tshs.833,333 kila mwezi kutokana uwekezaji wangu wa Tshs.80,000,000. Ukiamua kuchukua baada ya miezi mitatu, sita, mwaka faida inakuwa kubwa.
wewe wa kijijini huwezi weka 80m faida laki nane khaa labda elfu 80 na faida elfu 8 kwa mwezi

swissme
 
Back
Top Bottom