Recent content by Mrope II

  1. Mrope II

    Maisha ya kutafuta riziki kwa mwanaume au mwanamke ni kitendawili

    Tunaishi kwenye dunia ambayo BABA ama MWANAUME anaweza kuaga asubuhi anaenda kibaruani ama mishe mishe ili kuipa moyo familia kuwa wataiona siku, japo uhalisia hana anapokwenda. Tunaishi kwenye dunia ambayo MWANAMKE anavua nguo yake kwa Mwanaume mwingine ili apate chochote kitu ili siku iende...
  2. Mrope II

  3. Mrope II

    Ama kweli Pesa ni kilainishi

    Na ndo mana kuna uwezekano mkubwa meseji ya USIKU MWEMA ukaisoma ASUBUHI kwa Pozi za USIKU..
  4. Mrope II

    Rais Samia kwa siku anabadilisha nguo mara ngapi?

    Siweji kujibu hadi mwanasheria wangu aniruhusu
  5. Mrope II

    Kisa cha mwanaume na wanawake watatu

    Mwanaume mmoja alikua ana uhusiano na wasichana watatu. Na akaamua sasa achague mmoja wa kumuoa. Akawapa mtihani. Akamgawia kila msichana mmoja kiasi cha shilingi Milioni moja na laki tano (1500,000/=). Akawa anafuatilia kila mmoja aone atazitumiaje hizo pesa. 1. Wa kwanza akaenda saluni moja...
  6. Mrope II

    Kaka yangu Harmonize

    Kuna uwezekano mkubwa meseji ya USIKU MWEMA ukaisoma ASUBUHI kwa Pozi za USIKU...?
  7. Mrope II

    NGOJA NIKUKUMBUSHE KIDOGO

    NGOJA NIKUKUMBUSHE KIDOGO 1. Kama ulikuwa hujui, ikifika umri wa miaka 40, waliosoma sana na waliosoma kidogo, wote wanakuwa sawa tu, ni wakati huu majigambo ya certificates, diploma, degree, masters, PhD, hupotea kabisa. Ni katika umri huu, inawezekana mwenye elimu ndogo, akatengeneza pesa...
  8. Mrope II

    Kaka yangu Harmonize

    Kaka yangu @harmonize_tz ni mimi kaka yako kabisa kutoka Kusini naitwa BABA BOSI AU BABA MTAKATIFU Staki kuongea leo ila Nataka kusema,tofauti kati ya hayo ni Kwamba Kusema ni ajira kuongea ni Kumaanisha. Mimi leo nakua msemaji wa haya ..!!! Kuna muda nilisema hakuna sijakiona katika umri...
Back
Top Bottom