Natamani Mungu awape akili ya kuelewa alichokuwa anamaanisha PSEUDOPODIA maana sio kwa ukilaza huu. Kama Kalamu ni 500, (uwanja wa Arusha) ukiwa fala utauziwa 85,000 (Bei ya uwanja kutoka kwa CAG). Au unataka watajwe tuwazomee waone aibu?
Tatizo Rais Samia ameamua amsikilize Mwigulu ambaye watanzania wanamuona mhalifu namba moja wa ufisadi, wizi na mficha data mkuu ambaye hapendi ukweli.
Nape alisema juzi kuwa mgombea original ni wa CCM. Wengine wote ni photocopy. Sasa wenye akili washajua ni photocopy ya nani na wanamuwakilisha nani. Maana photocopy ni kiwakilishi cha original
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.