Recent content by Mrmkata

  1. Mrmkata

    Special Thread: Taarifa za Kampeni za Mgombea urais kupitia CCM, Dr. Pombe Magufuli na Samiah Suluhu

    Kwa raia wa njee wanao fatilia uchaguzi wetu huenda wakashindwa kuelewa vichwa vya watanzania ni vichwa vya aina gan haiwezekan nchi ambayo inamatatizo kila sekta umasikin umezagaa kila mahal badala ya kwenda kwenye mikutano kusikiliza Sera wanaenda kushangilia wasanii wanavyokata viuno...
  2. Mrmkata

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    nachotaka kujua hivi haya matangazo yaliyorudiwa jana tbc na leo clouds yamelipiwa au?
  3. Mrmkata

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Kama kuna yeyote ambaye mawazo yake yanafanana na alicho kisimamia Dr slaa Leo na ni mwana chadema tunamuomba akae pemben mapema atuache wenye dhamira ya kwel yakulikomboa ili taifa tusonge mbele
  4. Mrmkata

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    tunausamini mchango wake harakati hazita koma tunasonga kwa kas zaid
  5. Mrmkata

    Jimbo la Ukonga ni siku ya tano leo bila umeme, TANESCO tunahitaji majibu umeme utarudi lini

    haya mambo ndio yanalichelewesha hili taifa kufanya kaz kwa mazoea
  6. Mrmkata

    Tume inasema waliojiandikisha Dar ni 2,800,000

    kati ya izo 2.800.000 magamba watagawana 300.000 na ndugu zao act wazalendo
  7. Mrmkata

    UKAWA vs CCM katika urais, piga Kura hapa

    Utafiti wa mwanzo walio ongoza ilikua ni lowasa na Dr slaa na aliye ongoza alikua ni lowasa utafit huo kwa sasa nikama umekufa kwan kuna mpya imejitokeza na sura Moja haipo itakua vyema kama mtafanya tafit nyingine kama mlivyofanya apo awali
  8. Mrmkata

    TRA kwenye mgao wa Change Wa tsh. 1.6 bil mlikata kod?

    Tunaitaj majibu maana amekir mwenyewe kua yalikua nimalipo halali
  9. Mrmkata

    Prof. Ibrahim Lipumba atangaza kujiuzulu nafasi ya Uenyekiti wa CUF Taifa

    Kulikomboa taifa sio kazi ndogo kumuondoa mkokoni mweusi sio lelemama!kwa wenye dhamira ya kulikomboa taifa tusonge mbele tusiangalie tumepoteza nin nan ameingia nani ametoka
  10. Mrmkata

    Uchaguzi umebadilika na kuwa ni "movement" ondoa CCM

    Hamasa nikubwa sana
  11. Mrmkata

    Arfi kuondoka CCM

    awenasubira huenda wakamfikiria vip maalum
Back
Top Bottom