Davion Delmonte Jr.
JF-Expert Member
- Oct 27, 2013
- 2,149
- 1,721
Husikeni na kichwa cha habari hapo juu.
Sasa kuna watu wanajitekenya na kucheka wenyewe eti yale mafuriko ya leo sio wapiga kura eti wasindikizaji.
Na badoo mtanyooka tu. Subirini kampeni zianze.
Mmemkata wenyewe mtaisoma namba. Yaani kila kona Lowasa tuuu hakuna cha makufuli wala makomeo funguo tunazo sisi.
Say no to goli la mkono. Toroka uje. Tanzania kwanza.
Ujumbe Umefika.