TRA kwenye mgao wa Change Wa tsh. 1.6 bil mlikata kod?

TRA kwenye mgao wa Change Wa tsh. 1.6 bil mlikata kod?

Mrmkata

Member
Joined
Apr 16, 2015
Posts
83
Reaction score
19
Tunaitaj majibu maana amekir mwenyewe kua yalikua nimalipo halali
 
Viongozi wengi hawalipi kodi Tanzania. Kwa mgongo wa uongozi ndio maana hata wafanyabiashara wakubwa wanataka wawe wabunge kinga ya kutosumbuliwa kulipa kodi za biashara zao.
 
Joka la makengeza kila dili la ufisadi Tanzania hii yupo toka kwenye rada ndege ya rais Richmond dowance buzwagi escrow khaa hili joka n shida
 
Back
Top Bottom