Recent content by mriringa

  1. mriringa

    JamiiForums Tanzania Jezi ya Simba vs Yanga

    Rage anastahili kupewa tunzo ya heshima. Mbumbumbu style
  2. mriringa

    JamiiForums Tanzania Tuseme ukweli tu: Yeyote atakayepiga kura Oktoba atakuwa na Mtindio wa Ubongo

    Wewe ndo hutaenda kwa itikadi ya chama chako ila sisi ambao CCM kindakindaki tutapiga kura kwa wakati sahihi.
  3. mriringa

    JamiiForums Tanzania Mfanyakazi wa Private mshahara milioni 12 anaenda kugombania kazi serikalini mshahara milioni 2, hiki ni nini kama sio ujinga ?

    Job security. Bora ugali chumvi kwenye amani kuliko wali nyama vitani.
  4. mriringa

    JamiiForums Tanzania Ni kweli mama yako mzazi ukimkosea, kwa hasira akavua nguo(kumwaga radhi) mtoto unakuwa kichaa?

    Shida nadhani ni wewe either Bado mdogo au akili ndogo pia
  5. mriringa

    JamiiForums Tanzania Mikoa ambayo dini zimeharibu zaidi akili za watu

    Iringa hakuna huo utitili wa dini kama mikoa mingine hiyo
  6. mriringa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Makosa ya kiuongozi aliyoyafanya Rais Samia na kujikuta anapoteza uungwaji mkono wa wananchi kwa wingi na kasi ya kutisha

    Umesahau ujenzi wa miundombinu mipya ya elimu kuanzia msingi Hadi sekondari. Sina deni na mama Mimi binafsi na kama Kuna mapungufu ni ya kawaida ambayo kila mja anayo
  7. mriringa

    JamiiForums Tanzania Swali: Mbona taarifa ya kifo cha Ndugai iko kimya kuhusu chanzo cha kifo chake?

    Ukiambiwa nini kitabadilika??
  8. mriringa

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nimeombwa namba na sijatafutwa hadi mida hii

    Nacheka tu. Formular ya kiuchumi inasema kadri uhitaji unapokuwa mkubwa upatikanaji wa bidhaa unakuwa mdogo sana. So demand and supply imetake place
  9. mriringa

    JamiiForums Tanzania GE2025 Job Ndugai akataliwa hadharani, wajumbe wamwambia apumzike sasa

    Ukiulizwa mapungufu ya katiba ya Sasa unaweza kusema??
  10. mriringa

    JamiiForums Tanzania Wajumbe hawaangalie umechukua ubingwa wa ligi mara ngapi wanakukata tu

    Huyo hadi sasa mbunge note my word
  11. mriringa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Nusu ya Baiskeli za Mama zilizogawiwa kanda ya ziwa zimeharibika na hazifai tena

    Kwaani baiskeli nyingine huwa haziharibiki?? Why Kanda ya ziwa tu??
  12. mriringa

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Tetesi za usajili wa dirisha kubwa ligi kuu Tanzania bara 2025/2026

    Unasemaje ushamba?? We wachezaji wazuri unasajili kutoka timu nyingine ni ushamba unafanya au ni suala la biashara huria??
  13. mriringa

    JamiiForums Tanzania Dear Mama, See you later!

    Binafsi namkubali sana na sio Mimi tu Bali watu wengi haswaaa.
  14. mriringa

    JamiiForums Tanzania Mtoto wa darasa la Pili, Karim Rahim (8), afariki Dunia baada ya kujinyonga kwa kutumia Kamba ya Pazia

    Duh polisi walifanyie kazi katika haki na kweli.
Back
Top Bottom