Katika hotuba na mafundisho Baba wa Taifa, Mwalimu Julius Nyerere, alisisitiza kuwa tofauti ya msingi kati ya mjinga na mpumbavu inatokana na uwezo wa mtu kupokea na kuelewa mambo
Mjinga: Ni yule anayekosa maarifa au asiyejua jambo fulani, lakini anafundishika. Akielezwa ukweli au kupewa elimu...
NAFIKIRI kuna ugumu kukutana na mwanamke mwenye izo sifa zote
this year kwa upande wangu nimekutana na mwanamke bikra mtoto wa efu mbili lakini shida ni mvivu sana kuanzia kwa bed hadi kwenye kazi za kawaida ni mtu wakulala sana iii sijui imekaaje
tayari umeshafanya ibada.. umevumilia yote umekua na subira. muamini MUNGU usikate tamaa subira ni ibada na amini wakati unaona kila kitu kimefail ndio MUNGU hujidhihirisha. usiache kumwamini
miracles happen every day
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.