Anajimaliza mwenyewe,, mtu unajua kabisa hukushinda kihalali, lakini unashika kabisa Biblia unaapa,, daaah, namuonea huruma sana, atapata laana ya ajabu,, malipo ni hapa hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
Tutaambiwa ameshayalipia kodi, mchezo ndo unaishia hapo, Unafikiri angekuwa mkuu mwingine si angeahatumbuliwa???? Huyu anaendelea kula kuku kwa mrija,, Duniani hakuna Haki, belive it
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23] hahahaaa, sasa ile nyimbo wataisoma namba inawahusu kina nani? Awamu hii tutaona mengi kwa kweli. Tanzania ya maajabu!!!
Sent using Jamii Forums mobile app
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.