CHADEMA watoka nje Profesa Chiza akiapishwa

CHADEMA watoka nje Profesa Chiza akiapishwa

Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wametoka ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza (CCM), akiapa.

Tukio hilo lilitokea mapema asubuhi leo wakati baadhi ya wabunge hao wakiwa tayari ukumbini tayari kwa kuanza kwa kikao cha bunge lakini walitoka kabla Spika Job Ndugai, hajaingia na kisha kuingia baada ya Ciza kula kiapo cha uaminifu.

Hali hiyo ilisababisha viti vua upande wanaokaa wabunge hao kuonekana vitupu huku wakonekana baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF).

Chiza ameapa leo baada ya kushinda ubunge wa Jimbo la Buyungu baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Kasuku Bilago kufariki dunia.

Chanzo: Mtanzania
Dr. Willbrod Slaa ameweka like kwenye hii habari. Hii inaashiria nini?
 
N haki yao ya kidemokrasia, kutoka kwa hiyari. Lakn pia kuna kutolewa... Kwa mfano, mbunge wa Uingereza akiambia 'toka nje', anatoka mara moja...wenzake wanacheka na kuburudika, n kawaida sana. Sisi huku mpaka waitwe maaskari wambebe kama jeneza ndo anatoka
 
Alafu mtu anashikilia Biblia kabisa kuapa. Mungu hadhihakiwi watavuna tu high blood pressure, visukari na magonjwa mengineyo hatarishi kwa kupotosha haki na jasho la watu. Amen.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Anajimaliza mwenyewe,, mtu unajua kabisa hukushinda kihalali, lakini unashika kabisa Biblia unaapa,, daaah, namuonea huruma sana, atapata laana ya ajabu,, malipo ni hapa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
  • Thanks
Reactions: J C
Anajimaliza mwenyewe,, mtu unajua kabisa hukushinda kihalali, lakini unashika kabisa Biblia unaapa,, daaah, namuonea huruma sana, atapata laana ya ajabu,, malipo ni hapa hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Kabisa nimeona nikasikitika sana sana. Tumefikia mbali sana hadi hatua ya kumdhihaki Mungu. Naombi tuwe na hofu angeapa kwa ilani ya chama chake ingetosha. Viongozi wa kiroho wana kesi ya kujibu hasa wanaomlea kiroho.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Penye unafiki, uzandikI,uongo, fitna hata MUNGU pia hayupo ndio maana sisi ni taifa lililokwama. Hakuna jambo tunafanya linafanikiwa. wanaotawala hawakuchaguliwa,hata mioyo yao ni mizito wana migogoro ya nafsi inayowatafuna. Wao ni kulipa visasi wakihisi waliowadhulumu wataidai haki haki yao. Maendleo tutayasikia tuu.
 
Shika adabu yako.
Kwa nini unaniita haramia wakati mahojiano na huyo bwana baada ya matokeo yamerushwa na vyombo vingi tu vya habari?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe sio haramia wala sijakuita haramia ila kama imekugusa poa sana we tubu tu Mungu atakurehemu. Ile ilikuwa kauli ya kiungwana tu alafu dogo alikuwa hawajui sana ccm akaishia kutoa hiyo lugha akitakata kuonekana muungwana asijue ya kuwa anawapa mafisi uhalali ndio maana wakaishikilia hotuba hiyo kumnyongea mbali ila dogo mbeleni alijutia sana ile speech.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom