Shite boss
Senior Member
- Feb 18, 2018
- 167
- 204
Wana Buyungu tunamuomba aishi huko huko Dodoma huku hatumtaki ole siku akanyage ardhi yetu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Sent using Jamii Forums mobile app
Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wametoka ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza (CCM), akiapa.
Tukio hilo lilitokea mapema asubuhi leo wakati baadhi ya wabunge hao wakiwa tayari ukumbini tayari kwa kuanza kwa kikao cha bunge lakini walitoka kabla Spika Job Ndugai, hajaingia na kisha kuingia baada ya Ciza kula kiapo cha uaminifu.
Hali hiyo ilisababisha viti vua upande wanaokaa wabunge hao kuonekana vitupu huku wakonekana baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF).
Chiza ameapa leo baada ya kushinda ubunge wa Jimbo la Buyungu baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Kasuku Bilago kufariki dunia.
Chanzo: Mtanzania
Dr. Willbrod Slaa ameweka like kwenye hii habari. Hii inaashiria nini?
Alafu mtu anashikilia Biblia kabisa kuapa. Mungu hadhihakiwi watavuna tu high blood pressure, visukari na magonjwa mengineyo hatarishi kwa kupotosha haki na jasho la watu. Amen.
Sent using Jamii Forums mobile app
Kweli. Yaani mhusika kakubali, wapambe wanalalama...Aaah wapi..mbona mgombea wa chadema alikubali kushindwa..akasema hatapinga matokeo na kuwa uchaguzi umemkomaza kisiasa?
Sent using Jamii Forums mobile app
Kwako wewe tu. Uchizi wako usisingizie na wengine.Yajayo yanasikitisha
Alitishiwa na wasiojulikana, unakuwa mgeni bongo mkuuNiliona mahojiano yake na waandishi wa habari mara baada ya mshindi kutangazwa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Hiyo ya "English audience" ungepeleka Umoja wa Mataifa kabisa, ingependeza.Wabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wametoka ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza (CCM), akiapa.
Tukio hilo lilitokea mapema asubuhi leo wakati baadhi ya wabunge hao wakiwa tayari ukumbini tayari kwa kuanza kwa kikao cha bunge lakini walitoka kabla Spika Job Ndugai, hajaingia na kisha kuingia baada ya Ciza kula kiapo cha uaminifu.
Hali hiyo ilisababisha viti vua upande wanaokaa wabunge hao kuonekana vitupu huku wakonekana baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF).
Chiza ameapa leo baada ya kushinda ubunge wa Jimbo la Buyungu baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Kasuku Bilago kufariki dunia.
Chanzo: Mtanzania
Dr. Willbrod Slaa ameweka like kwenye hii habari. Hii inaashiria nini?
Yani huko ufipa kila mtu akichemka au kufanya jambo lisilowapendeza mnakimbilia kutishwa mara wasiojulikana na visababu uchwara kibao.Watu wanaina mtu kakubali we unaleta story za wasiojulikana.Kwamba huko ufipa nyie ni kushinda tu?
DemokrasiaWabunge wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema), wametoka ndani ya Ukumbi wa Bunge wakati Mbunge wa Buyungu, Christopher Chiza (CCM), akiapa.
Tukio hilo lilitokea mapema asubuhi leo wakati baadhi ya wabunge hao wakiwa tayari ukumbini tayari kwa kuanza kwa kikao cha bunge lakini walitoka kabla Spika Job Ndugai, hajaingia na kisha kuingia baada ya Ciza kula kiapo cha uaminifu.
Hali hiyo ilisababisha viti vua upande wanaokaa wabunge hao kuonekana vitupu huku wakonekana baadhi ya wabunge wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) na Chama cha Wananchi (CUF).
Chiza ameapa leo baada ya kushinda ubunge wa Jimbo la Buyungu baada ya aliyekuwa mbunge wa jimbo hilo, Kasuku Bilago kufariki dunia.
Chanzo: Mtanzania
Sawa mkuu, ila Kuna siku utaujua ukweli, pengine kwa sasa hujui au unajitoa Ufahamu. Time will tellYani huko ufipa kila mtu akichemka au kufanya jambo lisilowapendeza mnakimbilia kutishwa mara wasiojulikana na visababu uchwara kibao.Watu wanaina mtu kakubali we unaleta story za wasiojulikana.Kwamba huko ufipa nyie ni kushinda tu?
Sent using Jamii Forums mobile app