Recent content by Mrembo

  1. Mrembo

    Kwa Milioni 30, UTT amis na nyumba ya kupangisha kipi bora?

    Ushauri wangu wa dhati. Chukua iyo 30m ununue government bonds za 20 or 25 years. Utapata between 15.5 to 16% annual interest ambayo ulipwa kila miezi 6. Yaani hii ni clean money no longo longo. Ukishapata iyo bond ombea mkopo ambao unawezapata up to 80% ya thamani ya bonds zako. Ukiwa na bonds...
  2. Mrembo

    Natafuta mwalimu wa gymnasium

    Michezo yenyewe inaitwa gymnastic
  3. Mrembo

    Natafuta mwalimu wa gymnasium

    Asante, lakini hii sio gym ya kufanya mazoezi. Nazungumzia gymnasium sijui kiswahili chake, ila utakuwa umeona mashindano ya Olympics wanakuwaga na section ya gymnasium, wanaruka kubinuka etc. Nipo Dsm
  4. Mrembo

    Natafuta mwalimu wa gymnasium

    Habari za mchana na poleni na majukumu. Jamani humu ndani kama kuna mtu anafahamu mwalimu wa gymnasium au mahali nawezapata info zitakozoniwezesha kupata uyo mwalimu naomba nisadie, pia unawezanitumia kama ni number ya sim kwa PM. Asanteni sana
  5. Mrembo

    Nimeamini Maisha si kombolela, nimepata akiba ya Tsh. Milioni 14.7 mwaka huu

    Msikatishe tamaa sababu hapo ni mwanzo, na akiendelea kuwekeza na faida itaendelea.
  6. Mrembo

    Uzi maalumu kwa wakulima tupeane connection za kilimo pamoja na mazao

    Tafuta namna ya kuprocess mwenyewe, kama kutengeneza unga wa juice. Unga wa uji nk. Ubuyu una vitamin C nyingi na ivyo ni nzuri kwa afya. Siku hizi watu wanapenda natural food ila bahati mbaya hapa Tz sijaona maduka yanayouza vyakula vya asili. Hii inawezakuwa biashara nzuri pia.
  7. Mrembo

    Ufugaji wa Kware kwa ajili ya Nyama

    Ni watamu sana nyama yake
  8. Mrembo

    Naomba tuongee UHALISIA kuhusu biashara ya Real Estate kutumia mfano HAI

    Naomba kupishana na wewe kidogo. Mfano it is a common knowledge kwa sasa maeneo ya mwelekeo wa bagamoyo na karibu na beach ni hot cake. So kama unaweza nunua shamba maeneo ya bagamoyo kwa sasa, trust me lazima itakuja kukulipa tu. Kitu kingine angalia kama maeneo yaliyo karibu na hapo yamepimwa...
  9. Mrembo

    Naomba tuongee UHALISIA kuhusu biashara ya Real Estate kutumia mfano HAI

    Kwenye real estate mimi huwa nasema Location ya nyumba yako ndio kila kitu. Kuna ndugu amejenga very nice modern family house in Chanika anapata shida kupata mpangaji wa kumpa 150,000 kwa mwezi. Lakini ndugu mwingine kajenga nyumba kama iyo tegeta masite anakula 600,000 kwa mwezi. Yaani nyumba...
  10. Mrembo

    Kuna uwezekano wa kuchimba kisima kwenye beach plots

    Inawezekana ukipata wataalum wazuri utapata maji baridi kabisa. Unajua wengi wanakosea kuchimba urefu mkubwa, kumbe maji baridi wala hayako mbali. Ukizidisha kuchimba ndio unapata chumvi.
  11. Mrembo

    Saa 11:20 alfajiri unapishana na schoolbus zenye watoto wa miaka 4

    Kuna mmoja alikuwa anarudi nyumbani na Manundu, wazazi wanashangaa. Kumbe mtoto anasinzia kwenye gari matokeo yake anajigonga kwenye machuma ya gari. Inasikitisha sana.
  12. Mrembo

    Plot4Sale Nina 180,000,000. Natafuta kiwanja kilichopimwa (Surveyed plot) jijini Dar

    I It is about the neighbourhood. Kwa hela iyo anaweza pata mbweni Jkt, Kiwanja karibu na beach
Back
Top Bottom