Tulitegemrea kushika hao wengi kusaidie yasitokee..sasa kama yalitokea na unasema kuna watu wenye nguvu walikua nyuma yake...tutaamini vp ufanisi wa hiyo Tiss kuelekea tar 9 dec?je hao waty wenye nguvu wameshakufa au kuamatwa au kuondolewa?
Mkuu mimni nina swali jingine ...what if hiyo kesi ikafunguliwa ICC...na vyombo vya usalama vya ndani vikafanya high interference with witnesses process kama kuwatisha...kuwahonga au hata kuwapoteza...je unahisi hiyo kesi itafanikiwa au itapotezewa kama ilivofanyika kwa kina Ruto? MALCOM LUMUMBA
Mkuu je ikitokea Baada ya ripoti ya tume ya ndani...Serikali ikaamua ijitoe ICC kwa kupiga kura bungeni..kama .nkurunzinza alivofanya Burundi....unahisi kutakua na namna yeyote ile ya kuwawajibisha kwa
mauaji waliyofanya?au ndo itakua imetoka hiyo MALCOM LUMUMBA
Leo naomba niseme mtibeli umetoa boko😂hakuna mwananchi asiyelipa indirect tax...kupanda daladala tu ushalipa kodi... Labda kama vituo vyote wanaingiza mafuta kwa magendo..na sisi si wajibu wetu kufatalia ni wajibu wa serikali...haya kuna wale wa vijijini tuseme hawapandi daladala..watanunua...
Braza trust me...Man U..ina matatizo mengi...lakini wakiendelea kulilea hili tatizo ...watavuna mabua..the kid is getting bigger than the club ...which is not a good thing...hata ungekuwa unafunga kwa ulimi....ikifikia hatua unakuwa mkubwa zaidi ya Club..hamnaga turning point mzee...Solution...
Once a virus always a virus...Go and play with your fellow snakes like Courtoius(if you will be lucky[emoji57])...Namuona Mourinho anazidi kujichukulia point za mezani....
With all these rumours..to be fair Aron Bissaka si wa milioni 40 achilia mbali zaidi ya hapo...he is too overrated..ukabaji wake ni wa kujirusha mzima mzima dakika za mwisho hafu hajui kucross kama Young tu...ila huyu mbadala wanayemzumngumxia Max Aarons wa Norqich..he is too way better than...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.