Recent content by MrConveter

  1. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Tetesi: GE2025 Waliopenya kamati za CCM wilaya na walioliwa vichwa

    February Marope
  2. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Majina niliyoyaona ndani ya Lodge ya Alafaya iliyoko Vikindu yameniacha mdomo wazi

    Nasseb amewakaza wote.
  3. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Madereva wa Formula 1, ni "Marubani" wa Jet za ardhini

    Hivi ile Circuit ya Monaco walishaitoa?
  4. MrConveter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Wanaume mpewe nini mtulie?

    0713
  5. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Cha ajabu huyo demu hakuna aliyeleta ushahidi hapa kwamba kapiga.
  6. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Fursa; usambazaji wa vinywaji vikali

    Kama nimelewa vizuri basi jamaa anazo document tu, mtaji hana, anataka mtu mwenye mtaji. Kama nimeweza kupata mtaji nitashindwa vipi kupata document stahiki kwa ajili ya biashara? Ni sawa na uwe na full document zinazohitajika kwa ajili ya passport lakini bado unapitia kwa kishoka.
  7. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Matatizo mengi tuliyonayo nchini leo yameanzia na awamu ya tano; hapakuwepo na uhuru wa kusema wala kurekebisha mambo, sasa tunalipa kwa maumivu

    Magufuli amefariki tangu 03/2021, Sukari imeadimika au haipo kuanzia 01-02/2024, Napata shida ni kwa jinsi gani Magufuli anahusika, naomba nisadiwe tafadhali…
  8. MrConveter

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Usimpoteze mwanamke mwema kwasababu alijamiiana na mwanaume mwingine kwa bahati mbaya

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Yule jamaa wa Yanga.
  9. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Fali Ipupa ni mkali kumzidi Ferre Gora

    Mayday ni kali ila haifuniki Vita Imana yake Ferre Gola Le Padre. Kufahamu nani mkali zaidi kati yao naona mchuano bado ni mkali japo Ferre is clear kwa upande wa Rhumba.
  10. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Vita Imana 100 kilos Carte Rose
  11. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    100 kilos na Vita Imana hazina mpinzani.
  12. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Shikamoo Fally Ipupa kwa hili Rhumba lako Kali na Tamu la MAYDAY

    Kwenye kipengele cha Rhumba kwa maoni yangu binafsi naenda na Ferre Gola le padre, Fally ni wa moto tena moto kweli kweli, Mayday unaweza kusikiliza 24/7 bila kuchoka ila Ferre is clear kwa masikio yangu. Ni kama battle ya Messi(Ferre) na Ronaldo(Fally).
  13. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Budget ni 650,000/= ninahitaji iPhone yoyote yenye macho matatu

    650k kupata macho matatu ni mtihani kidogo, at least bajeti ingekuwa 800-750 labda
  14. MrConveter

    JamiiForums Tanzania Inasikitisha namna cement inavyotumika kutunyonya; serikali mpo kimya kwa manufaa ya nani?

    Hakuna mfanyabiashara anayepata 3,900/- kwa mfuko, hayupo.
  15. MrConveter

    JamiiForums Tanzania House4Sale Nyumba inauzwa Kigamboni

    [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Back
Top Bottom