Recent content by mrangi

  1. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Atakuumiza kichwa huyo Ova
  2. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Kwa tz prenup agreement haifanyi kazi! Ova
  3. mrangi

    JamiiForums Tanzania Nimekoma kupiga mwanamke bora nimemwacha aende kwa amani., majuto ni mjukuu.

    Hii dunia haiwezi kutulia Mwanaume kama huna uvumilivu,akili,busara usikimbilie kuoa Alichofanya baharia mwenzangu mwandende Ni jambo la heri acha aondoke,maisha lazima yaendelee bana Ova
  4. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Ah unapotezea tu mkuu Kesho keshokutwa hyo aliyekufanyia ujinga atajiona Mjinga Ova
  5. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Duh chanzo nini tena kilikuwa Ova
  6. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Sahv ndiyo akili zinamrudia itakuwa,ni majuto tu Lazima watu tu controll hasira/hisia zetu Ova
  7. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Kafanya maamuzi ya kipuz sana Ova
  8. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Vp wakili alimsikiliza au Ova
  9. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Swadakta Mapenzi/mahusiano yakisha expire vituko ndiyo uanza Ova
  10. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Mwanaume mwenye akili akishaona kwenye ndoa kuna dalili za sintofahamu "Mwanamke akimfanyia provocation hajibu kila neno, Na wala hatoshindana na mke/mwanamke kwa kutumia nguvu Atatumia akili +busara + subra... (All in all ukweli uongomvi chanzo wanaujua wenyewe) Ova
  11. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Sawa sawa mzee mzima mwenzangu naona unatoa nasaha kwa vijana Ova
  12. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Ndoa inahitaji akili kuliko nguvu Huyu jamaa badala ya kutatua tatizo ameongeza tatizo Ova
  13. mrangi

    JamiiForums Tanzania Marehemu Jane ndiye aliyenunua kiwanja na kujenga, alitaka jina lake liwe kwenye hati

    Si mmezaa watoto 3 sjui 4 tena Ova
Back
Top Bottom