Recent content by Mrage Hemedi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Biashara ya simu used kutoka Dubai

    Habari Ndugu Zangu Nataka Kufanya Biashara ya Simu used Kutoka Dubai, Naomba msaada wa vitu vifuatavyo. 1. Jinsi ya kupata connection ya kuagiza vitu hivyo Kutoka Dubai 2. Mtaji unaohitajika (Kima Cha chini ya Mtaji) 3. Je, Biashara hii Ina Faida nzuri?
  2. M

    JamiiForums Tanzania Technogy

    Jamani Naomba kuuliza,, Kuna mtu Aliniambia anaunganisha bundles za Mtandao fulani,,Nikamtumia pesa ili aniunge badala yake akakimbia mazima,,Namba yake naiona iko active WhatsApp na hata kawaida anapatikana,,Je Nawezaje kumfatilia na kutambua Alipo????
  3. M

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kampuni kupata namba ya lipa kwa Mpesa/tigo pesa

    Au nitumie njia gan ingine kupata lipa namba?
  4. M

    JamiiForums Tanzania Taratibu za kampuni kupata namba ya lipa kwa Mpesa/tigo pesa

    Naomba kuuliza wakuu,,Kuna mtu alinisajilia Line ya lipa kwa simu,tayari nilishatumiwa sms kuhusu kukamilika kwa line yangu na kubadilisha pasword lakini kupata ile Namba ya Malipo imekua changamoto,,Je Nikienda Vodashop wanaweza kuiona Kwenye system???
  5. M

    JamiiForums Tanzania Mamlaka Nchini Ukraine zasema shambulio la Urusi limeua Wanajeshi 70

    Maisha ya wasio na Hatia Yanateketea maskini
  6. M

    JamiiForums Tanzania Ukraine: Mataifa ya magharibi yanatuangalia kwa mbali, njooni mtusaidie

    Hofu yangu ni kuwa Wanapopigana Mafahari wawili zinazoumia ni Nyasi tuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania UN yaitaka Urusi iondoe wanajeshi wake Ukraine

    Unataka kusema nn yan,,Raia wasio na hatia waendelee kuuwawa na Urusi kwasbbu Na marekani iliwahi fanya ivo libya au
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nilichogundua watu wa ukanda ziwa Victoria ni wapole sana, hawana makuu na hawajui majungu

    Upele ukifika kwa mkunaji sasa🤣
  9. M

    JamiiForums Tanzania Abdallah Mwaipaya ulichokifanya Redioni usikirudie tena Kitakugharimu Kiutendaji kwa Rais Samia

    Ama kwl dunia ikiisha shetani hufanya Mambo yasiyo ya kawaida kuonekana ni ya kawaida
  10. M

    JamiiForums Tanzania Tatizo la Kukosa Hedhi (Amenorrhea)

    Pole dadaetu
  11. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

    Me napita tuu....
  12. M

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Changamoto za kuoa ukiwa “Senior Bachelor”

    Me napita tuu....
Back
Top Bottom