Recent content by Mr_Teacher

 1. M

  Majeshi yote yana askari na majeshi yote yana Wanajeshi

  Nnachoona hapa ni Polisi kujitutumua kushindana na JWTZ
 2. M

  Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

  Kama Nmekupata, Kuna waliotokea Advance wakapiga International Diploma Mwaka M1 then hiyo International Advanced Diploma halafu wanafanya topping up hapo Greenwich na wanatambulika Kama Degree holders vzr tu na baada ya hapo Kuna mmoja akaenda kupiga Masters hapa Bongo
 3. M

  Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

  Ndugu unachanganya Mambo, NTA Level 7 ni sawa na Mwaka wa Pili wa Bachelor Degree ktk mfumo wa NACTE ambayo ndo inaitwa Higher Diploma. Wewe hapa Bongo ulisoma Chuo gani chenye collabo na Greenwich? Je ni Learn IT, IIT au wapi hao? Na ulkua na Cheti gani kingine mbali ya hiyo topping up ya Mwaka...
 4. M

  Wanaosafisha vyeti Re-Seaters

  Ana Four ya 27? Nafkiri hapo atakua na Pass 4 Sasa ya nn kurisiti? Si angeendelea Diploma then Bachelor
 5. M

  Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

  Kaka, Kuna tatizo mahalo, nawafahamu watu waliosoma hicho Chuo na walipata Evaluation zao TCU vzr Kama Degree holder, iweje wewe NACTE wakuambie ni Higher Diploma? Labda hebu list vyet vyote ulivyonavyo labda Kuna kitu hakipo sawa ndo Mana ikawa hivyo ili tujarb kushauri
 6. M

  Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

  Mkuu umechanganya, huyo unaemsema itakua ulimuona ana Advanced Diploma ambayo ni equivalent to Bachelor Degree ndio Maana uliona alienda hadi kufanya Master Degree
 7. M

  Naomba kujua vigezo vya kujiunga Post Graduate Diploma ya Business

  Hapana, kwasababu ili ufanye Postgraduate Diploma Lazima uwe na Bachelor au Advanced Diploma, Sasa kwa mfumo wa Tanzania hiyo Higher Diploma ni sawa na Mwaka wa Pili wa Bachelor Degree, so nenda kafanye topping up mwaka mmoja upate Bachelor Degree kamili ndo uwaze abt Postgraduate Diploma
 8. M

  PhD ya Open University inathaminika?

  Sidhani Kama Elimu yako imekusaidia lolote hadi sasa vinginevyo usingeuliza swali la kiboya namna hii, Ubora wa Elimu utatokana na juhudi zako na kujituma kwako, na Kama hadi Leo unangoja PhD ndo ikutoe kimaisha basi hesabu umefeli Maisha, hata hiyo Master Degree uliyonayo achana nayo itoe...
 9. M

  Online colleges/universites

  IAA nao wameanza na hizo Online Mode kwa baadhi ya Undergraduate programs, check nao
 10. M

  Tunaosubiri namba E tukutane hapa

  Ooh sawaaa, hiyo nafkir soon inakuja maana DX ndo inaishia December hapo
 11. M

  Tunaosubiri namba E tukutane hapa

  Duuh, unazungumzia YZ leo, yaani tumalize D tuje E, tuje F Hadi hiyo Y brother si Mwaka 20200 huko
Top Bottom