Tajiri wahi kiwanja hiki utanishukuru badae..Nimepata shida tu
ukubwa 20 kwa 20 kikubwa kizuri sana
bei milion 10
nicheki 0756038510
Kimepimwa ila hakina HATI bado
Nauza kiwanja changu hapo Mwanza Buswelu mtaa wa kahama ukubwa ni 28 kwa 18 Nipe 2.5M uchukue mali ...0756038510...nicheki nikujnganushe na sister hapo Mwanza uchukue mali mie nipo Dar
Daah wakati wengne tumefukuzwa na tulimpa mama 2015 sasa sijui itakuwaje 😢😢😢Tunatamani sana kulipa fadhila Mi nishasema mpka nipate ndo ntakiri Mama anaupiga Mwingi Aisee ✋
Tuliokosa kuitwa kazini TRA 9/4/2022 tusikate tamaa hongereni kwa mliopata na kheri ya utumishi mwema.
Inawezekana tumefaulu ila nafasi ndio tumekosa ila tuna mshukuru Mhe Raisi japo sijabahatika kuitwa ila jamaa zangu wengi kutoka familia zetu za hali ya chini wamepata kwa jitihada binafsi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.