wa kupuliza
JF-Expert Member
- Jun 15, 2012
- 15,210
- 37,829
Hivi watu awawezi jiwekea wenyewe pesa zao Hadi walazimishwe
Mkifanya hivyo haya maghorofa yanayojengwa na mifuko ya kijamii hapa mjini na miradi kibao hewa itatekelezwa kwa pesa zipi mkuu?
Hivi watu awawezi jiwekea wenyewe pesa zao Hadi walazimishwe
7
Natamani sana ingekuwa hivyo ili kusudi kila mtu aamue binafsi kuwekeza huko au kuweka kwenye kibubu home.
ZimefikaHakika inasitikisha sana kwa wanayopitia wazee wastaafu waliojitolea kuitumikia nchi kwa nguvu zao na kuchangia michango yao kwenye mifuko ya jamii lakini leo wanashinda wanazurura kudai haki yao.
Kuna mzee alistaafu Julai 2018 lakini mpaka leo amekuwa akizungushwa na watendaji wa PSSSF kwa kuambiwa njoo kesho njoo mwezi ujao.
Kwa mujibu wa maelezo ya mstaafu huyu anadai mafao yake ya serikali kuu kwani amefanya kazi serikali kuu na serikali za mitaa.Tunaiomba serikali ikawaangalia wazee wastaafu kwa jicho la huruma na kuwalipa mafao yao.
Zimefika