Recent content by Mr Snow

  1. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Maajabu: Barabara njia 8, Zebra kila baada ya Kilomita 1

    TANROADS*** 1. In Capital Letters 2. With 'S' at the end. Repeat again, using a Technical Language this time.
  2. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Naomben msaada wa ku_unlock modem ya Huawei E3372

    Habari wakuu, Naomben msaada wa ku_unlock modem ya Huawei E3372.
  3. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Mkurugenzi wa Tarime mjini apata ajali Manyoni Singida

    Naomba kumfaham jina, maana nmeskia nmesoma nae shule moja ya msingi lakini sijafankiwa kumfaham.
  4. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Anaewajua hawa wauza magari tradecarview

    Niliagiza direct japana kupitia sbt, this march.....nnazo contacts zao, I can connect you with them if you wish.
  5. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    Thank you...sema, hii power ni ya muda wote, ama kipindi cha vita? In other words, CDF anaweza at any time akam_command IGP akashughulikie kitu flan,jus like alvokua anafanya Kangi?
  6. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Kati ya Mkuu wa Majeshi(CDF) na Mkuu wa Jeshi la Polisi(IGP) nani ana cheo kikubwa?

    I like ur understanding....sema, hii wizara ya Dk. Mwinyi ni wizara ya ulinzi, ama ulinzi na usalama?
  7. Mr Snow

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchungaji Mitimingi: Kibamia siyo tatizo la mwanaume kushindwa kumridhisha mwanamke kingono

    Aya nipewe maelekezo chap nibofye send [emoji23][emoji23][emoji23]
  8. Mr Snow

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchungaji Mitimingi: Kibamia siyo tatizo la mwanaume kushindwa kumridhisha mwanamke kingono

    Sana. Naomba niwe enrolled mapema kabisa [emoji7]
  9. Mr Snow

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mchungaji Mitimingi: Kibamia siyo tatizo la mwanaume kushindwa kumridhisha mwanamke kingono

    We madame fundi sana. Fungua chuo tule shule.
  10. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

    Kibongo bongo we mean the same...correct me if am wrong
  11. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Msaada wa mchanganuo wa bei na miundombinu kuanzisha kituo cha mafuta (petrol station)

    Miongoni mwa documents muhimu kwa ajili ya kuomba vibali, especially kama utaweka katika Road Reserve hii sheli; ni Michoro sahihi. Tuungishane tukuandalie michoro!
  12. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Is time traveling possible?? (kusafiri muda inawezekana?)

    😁😁😁😁😁😁😁😁 Mkuu ulikua ukishajua jibu njia unaitafta upya na unaelew a.....so hakakukosewa......
  13. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Mimi nilipoteza lisaa hapo....watu tunaaminishana uongo, watumiaji wote wakirud hapo hali itakua kama zaman tu. La mhim tuendelee kutumia zile njia mbadala. Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Haya waungwana....tuweni wakweli sasa.... Wangapi wameitumia hii intersection hivi karibuni, ikiwa katika PEAK HOURS? Katika uchangiaj wangu hapo kale, niliwaambia kua maswala kama haya ya kushabikia vitu vya kitaalam bila kujua undan wake, utawavutia watumiaj wengi waliokua wamekwepa njia...
  15. Mr Snow

    JamiiForums Tanzania Tangu makutano ya Ubungo yamewekwa hii Round About, foleni imepungua kiasi

    Upeo wako ni mdogo sana. Tofautisha kwanza Contractor na Consultant. Then niulize nikujibu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom