Ok sawa sawa...halafu kuna hii tabia ya watu wazima wababa kutembea na ma binti wa marafiki zao waliowaamini, vp zamani ilikuwapo?
Mabinti wanatembea sana na marafiki wa wazazi wao watu wazima kutokana na ukaribu wa familia.
Kuna nchi Africa Magharibi , wanaamini kulala au kuacha vyombo vichafu kunakaribisha roho chafu ndani.
Huyo dada ni mchafu tu mpaka anashangaa...mwenyewe nikitumia vyombo naviosha.
Wachawi ambayo ni lea ya chini kabisa kwenye ulimwengu wa giza wanawashinda ndio utamuweza shetani...malaika Gabriel mwenyewe akitumwa duniani kuleta ujumbe anaomba kampani ya mikaeli ili apite
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.