Recent content by Mr. Sikuelewi

  1. M

    JamiiForums Tanzania Tukemee wanawake wanaovaa nguo fupi

    Acha wavae ili upate ujasiri wa kuyashinda, maana huwez kusema umeshinda vishawishi wkt hujakutana navyo, vaeni mtakavyo watakao naswa sawa, watakao kwepa sawa, ila acha ngano ikue pamoja na magugu, yuamkini hao wavaao nguo fupi wataurithi ufalme wa mbinguni ila mm SIELEWI
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wadada mbona mnapenda sana kuhongwa?

    We unayo?
  3. M

    JamiiForums Tanzania Faida 5 za mke kutembea nje ya ndoa

    Mapengo 17 Hiv nikuweke kwenye kundi gani kati ya haya? A. Faster learner B. Middle learner C. Durable learner D. Low thinking capacity [ ]
  4. M

    JamiiForums Tanzania Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Hilo nalo ni wazo aisee maana unaweza kuta kajikwaa, ko bora upime kwanza Marytina, ukikuta uko salama, weka out akikacha nawe mkache tafuta mwingine mbona wapo wengi xn wanafuta
  5. M

    JamiiForums Tanzania Nimewahi kuwa changudoa, nimjulishe?

    Hongera sana kwa ulichokieleza, mm naona bora umuweke waz kwa kila kitu coz ukifcha na ikaja julikana utaonekana km bado tabia hyo unayo. Hakuna jambo la siri hapa duniani, so jisalimishe mwenyewe, na ukisema ukwel wako utakuwa umetua mzigo mkubwa moyoni mwako kuliko kukaa na kitu moyoni halafu...
  6. M

    JamiiForums Tanzania UPDATES: Mgomo wa Madereva - Maeneo mengi nchini usafiri ni shida! Mei 04, 2015

    Bado tz kuna matatizo!
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri wako wa mhimu

    Km dem ndo kaamua kumbwaga, jamaa akubali yaishe, akimbembeleza na dem akija kukubali siku likitibuka tena dem atakuwa anaringa na kusema mi nilikuwa sikutaki ww ndo uling'ang'ania. Ko kuepusha shar bora ambwage tu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania Ukistaajabu ya Musa

    Hiv kwann watu bado wanajiachia na wake za watu? Mo11 chukulia mkeo ndo anagegedwa je unaweza kufurahi?
  9. M

    JamiiForums Tanzania Uke kuvua kondom

    HODI HUMU NDANI. Du bro we noma, ila plz jarbu kuwa na dem mmoja aisee!!
Back
Top Bottom