Recent content by Mr. Samson

  1. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    uliyepost hii thread, acha KUJIONESHA ZOMBIE! Tuseme wewe kwako habari ni kifaa cha CHADEMA?!!! Bila shaka ulitoka na DIV. 5 shuleni! Mbona sare za jeshi zimetajwa na kuoneshwa? Mbona kuna pesa, simu na laptop zimeporwa? vyote hivyo kwako si habari? Mbona kuna bangi na gongo imekamatwa? Yote...
  2. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania MS Kalashnikov: Female fighters in Congolese rebel groups

    Nasikitika sana kwamba warembo hawa walidanganywa wakaingia kichwakichwa kwenye mapigano wasojua sababu, chanzo wala hatima yake, sasa wakati niandikapo comment hii nahisi wengi wao wameuawa kwa makombora ya jeshi la serikali waloichokoza yakisaidiwa na majeshi ya nchi rafiki na wapenda amani...
  3. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Filpo, Inaelekea wewe pia umepungukiwa busara na hekima, kwa kumshambulia Mh. Lema waziwazi! Ningekuona mwenye busara kama ungeishia kuwasihi wamalize tofauti zao za kimtazamo wa mambo kindugu, kwa maslahi ya chama na Tanzania tunayotaka kuijenga!
  4. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania Madawa ya Kulevya: Meli ya Tanzania iliyobeba unga wa Sh. Bilioni 123 yazua kizaazaa nchini Italia!

    Tanzanzania ya sasa inaelekea kubaya! Kosa tulilolifanya 2010 tusilirudie tena 2015! Nchi yetu inatia aibu kwa visa vya ajabuajabu! Meri ni ya Tanzania, ina mzigo wa mtanzania, tena wachunguzi wa mambo wameshamfahamu mpaka jina, lakini tusubiri tuone kama serikali itachukua hatua kali au...
  5. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania EZEKIEL MAIGE: Mbunge wa Msalala CCM, NAIBU Spika,Hakuwa sahihi kutomsikiliza Mbowe!

    Swala la katiba ni swala kubwa hivyo ni vema zikafanyika jitihada za kutosha kuhakikisha tunakwenda pamoja(na wenzetu haswa wenye mtazamo tofauti na sisi CCM) badala ya kutumia "Wingi wetu" kwani mwisho wa safari tukienda hivi watakuwepo watakaodai kuwa katiba mpya sio yao na hivyo kuikosesha...
  6. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania Ni yupi MKE anayefaa: Mfanyakazi au asiye na kazi (golikipa)?

    MKE MWEMA MTU HUPEWA NA BWANA Mungu amekupa akili na ufahamu, kukuwezesha kumtambua mke mwema uliyeandaliwa na Bwana; Mke afaaye ni yule unayeweza kumpenda siku zote za maisha yako, asiwe mzigo wala usiwe mzigo kwake, mke afaaye ni yule mnayeendana kifikra, kiimani, kimaadili na kimuono wa mambo...
  7. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania Zitto Kabwe: Msiwaamini wanasiasa, chama tawala wala wapinzani

    Zito, ana lake jambo, muda si mrefu litajidhihirisha! Surely, Time will prove what I say here!
  8. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania Waraka wangu kwa JWTZ, Watanzania

    Manyerere, mara nyingi nilikuwa nikitofautiana na wewe katika masuala mbalimbali, hasa tunapozungumzia siasa za ndani ya nchi yetu tz, kwa leo nakuunga mkono na kukupongeza kwamba umeona mbali hadi kufikia kuachana na mawazo finyu ya kuwapaka mafuta viongozi hata kama hawajaoga...
  9. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania GE2015 Zitto: Sitagombea Urais wala Ubunge 2015

    Sina hakika kama kweli zito amefikia maamuzi haya! kama ni kweli nadhani sitakosea nikisema kijana mwenzetu amekurupuka, huko vyuoni anakotaka kukimbilia anakujua vizuri? Ni kweli ameona panamfaa zaidi? Binafsi namuona kama muoga na mtu asiyeaminika, matamshi yake katika siku za karibuni...
  10. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania Tambua aina ya wanaume wenye mvuto zaidi kwa wanawake!

    Mimi hapo nimekosa comment kwa sasa, ila nawaahidi kulifanyia utafiti wa kina ndani ya kipindi kifupi iwezekanavyo na matokeo ya utafiti wangu nitayaweka wazi kwa kila mdau aweze kupitia na kuchambua. Namshukuru initiator of the motion! Labda tu niseme kila mtu aendelee kuamini mtazamo na...
  11. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania Mtu asiyejulikana agawa fedha jijini Dar

    Mimi nadhani tumpe muda, "Time will tell - 'Who, What, Which, How, and Why"
  12. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania Trafiki "feki" akamatwa akila vichwa live

    Nchi yetu watu wa aina hii mbona ni wengi tu, hiyo ni sampuli moja tu, fika hosipitalini, shuleni ofisini nk. kote kumejaa fake professionals! :A S-fire1:
  13. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania Sheikh Ponda ajeruhiwa vibaya baada ya kupigwa Risasi mjini Morogoro

    JESHI LA POLISI limeacha wajibu wake wa kulinda raia na mali zao. HAWASITAHILI kuendelea kulipwa mishahara bali kufunguliwa mashitaka ya utesaji na kuendesha mauaji ya raia wasiostahili kufa!
  14. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania Jaji Mutungi ateuliwa kuwa Msajili wa Vyama vya Siasa Tanzania, achukua nafasi ya John Tendwa

    Mtenda hutendwa, Tendwa katedwa au kajitenda? Natamani nikutane naye nimuulize, "Anajisikiaje"
  15. Mr. Samson

    JamiiForums Tanzania CCM wafanyia mkutano kituo cha polisi

    Sometimes, I CAN'T believe my eyes! Is itTABATA POLICE STATION or TABATA CCM BRANCH? :smile-big:
Back
Top Bottom