Recent content by Mr Sam.

  1. Mr Sam.

    Watangaza nia wa CCM wamejisahau kama wao ni watawala

    Hamna mwenyedhamira ya kweli na tanzania mpk sasa Wote wanaangalia ulaji tu Maana serikal kupingana na serikal ni dhahiri kua kuna mengi yanakuja Better angetoa kauli maana hii ni aibu kwa nchi yangu
  2. Mr Sam.

    Je! Unahitaji kukopeshwa Solar system? Soma hapa

    Tunashukuru kwa taarifa Ila ungeweka detail zaid ingesaidia sana wana jamii kupata uelewa Mie naulizia hiyo namba tatu,je naweza pata more details kama Imetengenezwa wapi,ina warant ya muda gani ,bei kwa bila mkopo na bei kwa mkopo inakua na riba kiasi gani ,na je usalama wa hela ya anaetaka kwa...
  3. Mr Sam.

    Msaada wa hotel Rombo

    Hapo willayani kiongozi
  4. Mr Sam.

    Msaada wa hotel Rombo

    Nenda belleview hotel mkuu
  5. Mr Sam.

    Muongozo katika biashara

    Wakati unaendelea na kutafuta kazi Plan ya biashara ulionayo ninnzuri sana na wala haijitaji mtaji mkubwa Nakushauri tuliza akili anza maandalia ya kuiandaa hiyo biashara huku unaendelea kutafuta kazi,kwa pamja utafanikiwa na kutokuja kua tegemez kwa mwajiri.....waajiri wanatufanya kua watumwa
  6. Mr Sam.

    Am back JF

    Haaaa@thanks all
  7. Mr Sam.

    Am back JF

    Ni muda sikua na wana JF sasa nimerejea tuendelee kuhabarisha kwa yalio mema.
  8. Mr Sam.

    Nakshi nyumba yako kwa finishing na Crystone paint

    Dah nimefurah sana Ila sijui kama nitakua sijachelewa Je nikiwa nimeshafanya white cement na ile under cort.naweza kuja malizia na hii rangi au maandaliz yanatakiwa tangu awali Majibu yako yatanijenga sana fundi.
  9. Mr Sam.

    Tujadili na kuchambua Sheria za kodi; VAT na Income Tax

    Good topic mr Mie concern yangu kubwa ni kwa hizi allowance ambazo wanapeana kwa minajili ya kua non taxed,kama allowance za wabunge au sis offc. Kuchukua allowance na kuja kurefund back claims Tuziangalie hiz sheria vema na makundi ambayo tanapaswa kunufaika na hili na sio wenye nacho zaid...
  10. Mr Sam.

    Wachaga wa Kilema (Marangu): Tufafanulieni hili

    This is new to me japo ni mchagga Pls naomba ufafanuzi zaid na kama inaendelea ama la....!
  11. Mr Sam.

    Uchaguzi Serikali za Mitaa 2014: Matokeo kutoka nchi nzima (TZ Bara)

    Lisu hata spika anamkubali sana ....na ndio tegemeo bungeni
  12. Mr Sam.

    MissWorld Updates : Habari ya Mujini ni Happiness Watimanya

    Tumsaport aisee ....she deserve sana
  13. Mr Sam.

    PAVING(Aina Mpya)

    Nimeupenda sana uzi na ufafanuzi wako,je garama zako za kuifanya hii kazi zikoje,tafadhali tunaomba kujua
Back
Top Bottom