Recent content by Mr.Professional

  1. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kweli kwamba Wananchi huwa wanusimamisha Msafara wa Rais barabarani?

    Ukitaka kujadili uzi huu fikiri kidogo nje ya box kwanza. Nani anayejua ratiba za msafara wa rais au wa PM? Kwa speed wanayotembea kwenye msafara rais hawezi hata kuona mabango na kusema atasimama njiani. Protokali za kiusalama haziruhusu msafara ule usimame popote. Hivyo kwa akili ya kawaida...
  2. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Mbowe atangaza Baraza kivuli la Mawaziri, Mbatia ndani. Zitto, Kubenea nje

    Nadhani impact ya Zitto ingekuwa kubwa sana kama angepewa wizara ya fedha huwa anaitendea haki mara nyingi
  3. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Mkoa wa Dar es Salaam sasa kuwa na Wilaya tano

    Nadhani haya ni maandalizi ya uchaguzi wa umeya wa jiji hiyo tar 8/02
  4. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Mlinzi wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania

    ADC wa prezidaa nijuavyo huwa anakuwa mmoja sema anakuwa na backup incase ya emergency. Uteuzi wake mara nyingi anafanyiwa vetting na inteligencia ya jeshi na inteligencia ya usalama wa taifa kwa kuangalia ubobezi wake katika masuala ya usalama. Hawi mpambe kama mpambe tu wakubeba speech za...
  5. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania UDOM Police Brutality: Haki za binadamu, wanasheria na wanasiasa mko wapi?

    kwa serikali sikivu ya ccm huu ni mwanzo tu wa mwaka na itakapofika mwezi wa 10 tunahitimisha uchaguzi mkuu matukio haya yatakuwa yamezoeleka kwa watz wengi maana wataua sana na kututia sana vilema ili kubaki madarakani. Poleni kwa wote mliokutwa na majanga haya
  6. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Kamanda kova live ITV anazungumzia panya road

    Karibu Tanzania nchi ambayo ni ajabu jipya la dunia
  7. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Mbowe amesalitiwa, wapo wa kuwajibishwa

    Katika hili kama uzembe ukiwa ni kwa viongozi wa kitaifa nao inabidi tuwawajibishe. Ni lazima kuonesha utofauti kama kweli tunafanya modern politics sio tunakuwa tunafanya yaleyale tu. kila uchaguzi yaani sie hatujifunzi kila siku hapana chama kifanye tathimini na kuwanyooshea vidole wote...
  8. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Tegeta Escrow: Stanbic Bank yatoa Press Statement

    kweli nchi hii hatuko serious hata hawa tuliodhani ni waadilifu wanatoa taarifa kama mume anayemwachia mkewe taarifa kuwa yeye kasafiri. shame on them
  9. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Mshikemshike Dar, Mbowe na Dr. Slaa walikamata Jiji

    Upo sahihi kwa asilimia kubwa mie mwenyewe nimelishuhudia hili ccm wamefanya lobbying kubwa sana kuhakikisha wanawatu wao wanajiandisha kwenye chaguzi hizi za serikali ya mitaa. mie walinifata na kuniuliza kama mie ni mwanaccm nikawakubalia ndio wakaniambia kuna swala la kujiandikisha kwenye...
  10. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Mbowe amesalitiwa, wapo wa kuwajibishwa

    Hili ni tatizo kubwa sana na hofu yangu ya kila mara. Tumekuwa tukisema mara nyingi chadema kinapaswa kuandaa viongozi makini kuanzia ngazi zote. Sasa hivi tunauongozi karibu kila wilaya na mikoa inakuaje wanashindwa kuratibu mambo madogo kama haya. Hao viongozi wa wilaya na mikoa kazi yao ni...
  11. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Jussa: Mchezo umeisha Bunge La Katiba

    Tunamshukuru kwa dhati kabisa Mzee 6 na timu vin'gang'anizi yote. Tena salamu zifike kwa mzee wa vijisenti na mama Migiro. bila kumsahau mwanaume muimba taarabu mwenye tumbo kubwa duniani (anajina la kamnyama). Wamefanya kazi nzuri kabisa katika uandishi wao na uendeshaji wao wa bunge la katiba...
  12. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Piga kura ya maoni sasa: Katiba ya Warioba v/s Katiba ya Sitta

    Mzee Joseph sinde WAR(ioba)
  13. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Rasimu ya Katiba inayopendekezwa 2014

    Nimetokea kuwa mfuatiliaji mzuri sana wa makala za bwana Polepole na ongea yake ya Polepole ila uchambuzi wake wa mambo hasa haya ya katiba ni hazina kubwa sana kwa taifa hili. Watanzania tunajua wao walioko huko wanaandika katiba ya ccm maana katiba ya watanzania tutaindika baada ya uchaguzi...
  14. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Dr Migiro na Andrew Chenge kuandika maoni ya wachache katika kamati yao

    hahhahha kuna vitu vinachekesha kweli eti Dr. Migiro na Chenge kuwasilisha maoni ya wachache kwenye issue ya mahakama tu ila mambo mengine wamekubaliana hakuna haja. Siku hizi nikitaka kucheka nakuja kusoma habari za BMK
  15. Mr.Professional

    JamiiForums Tanzania Kinachoendelea Dodoma: "Hakuna Katiba! ni Kutafuna Tuu Pesa za Watanzania"-Dotto Bulendu wa Star TV!

    Suluhu sina uhakika kama ipo kwa hali ya nchi yetu ndugu Pasco, maana kwa nchi za wenzetu ambao wameweka uzalendo mbele na wanajua haki zao, hakuna chombo chochote kinachothubutu kwenda nje ya makubaliano. Wananchi wangeisha ingia mitaani na kugomea mchakato usiendelee. Ila kwetu sie tunaendelea...
Back
Top Bottom