Recent content by Mr Nzoka

  1. M

    JamiiForums Tanzania, JamiiForums Uganda Battle royal: Kampala vs Dar es Salaam

    Aisee mimi naishi Mwanza ila cjawahi kufika Kampala but Kampala milima yake wameitendea haki,milima imejengwa na kupangiliwa vizuri ila milima ya mwanza ni aibu kwa Tz na jiji kwa ujumla
  2. M

    JamiiForums Tanzania Mh Lwakatare, jibu uliloambulia limetengeneza historia kwako.

    Walioshangilia ni watu aliokuja nao kwenye msafara si wanakagera hata ukisikia hiyo clip utasikia hata ushangiliaji ni wa kinafiki tena wa sauti za kiume
  3. M

    JamiiForums Tanzania Msanii Darasa akiwa na Hanscana wapata ajali ya gari huko Kahama

    Nyimbo nyingine bwana!!!!"unataka kukimbia na hauna brekiiiii,what do you expect! !!!!??
  4. M

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku

    Aisee, hii ilikuwa sofa ya ikulu?
  5. M

    JamiiForums Tanzania Picha ya siku

    Hahahahaha,atakuwa mhitimu wa chuo cha Veta kitengo cha makodakta
  6. M

    JamiiForums Tanzania Naomba msaada Wandugu, Jogoo wa Chotara anaweza kuhudumia mitetea wangapi?

    Mimi ni mfugaji wa kuku chotara,jogoo 1 kwa tetea 20 ndio standard kaka
  7. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba yake yapigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la benki

    Anyway mara nyingi wanaokubali nyumba zao kuuzwa kiraisi uwa na majumba mengine ya siri tena makubwa na mazuri sana so wanaamua kusacriface moja km chambo na wakati mwingine unakuta hizo nyumba uwa zimejengwa kwa pesa za kimagumashi/kifisadi zaidi so haiumi kiviileee,but nyumba uliojenga kwa...
  8. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba yake yapigwa mnada baada ya kushindwa kulipa deni la benki

    Aisee pole sana,inahuzunisha sana na hakuna wa kukucheka mpendwa
  9. M

    JamiiForums Tanzania Tufahamiane Kwa kazi tunazofanya kuingiza vipato

    Kazi yangu ni professional safari tour guide,niko vizuri sana ktk wildlife management,karibu
  10. M

    JamiiForums Tanzania Watu wawili wadaiwa kuuawa ndani ya hifadhi ya Serengeti

    Aisee huyu majeruhi cjui alipona vipi vipi make huyo ndo ameleta msala wa Hili zogo,kuingia hifadhi ya taifa tena bila kibali tena unaenda kuwinda wanyama watu?????Mara nyingi ubaki story tu kuwa baba/kaka/mjomba alienda kutafuta mboga hifadhini ila huu ni mwaka wa pili hasirudi na watu...
  11. M

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli: Niliivunja Bodi ya TRA baada ya kuidhinisha mabilioni ya pesa kwenda benki binafsi

    Ila nawe ni bonge ya goigoi kama si kilaza haswaa,shida hapa ni kwamba unapoweka pesa fixed account kuna faida kubwa unatakiwa upate kama riba na km 6b means riba yake ni kubwa sana,so ina maana hii bodi ilikuwa inacheza na riba ambazo zinaishia mikononi mwao,ingekuwa hz riba zinaongeza ujazo...
  12. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Shoga kutoka Tanzania akamatwa Uganda

    Hahahaaha, hapo ni mtihani make kwa wanaume atakuwa amefikishwa home lzm mbambe zaidi atakuwa amejipatia chombo
  13. M

    JamiiForums Tanzania Picha: Shoga kutoka Tanzania akamatwa Uganda

    Aisee kwa tunaopenda miguu mizuri ya kike tungekamatwa na lijamaa!Make ni guu analo nami ndo ugonjwa wangu,jamani tuwe makini
  14. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

    9)Kujigeuza geuza mara kwa mara ukiwa usingizini;Wataalam wanasema unapokuwa umelala upande mmoja kwa muda upelekea upande kuchoka kwa misuli na mishipa ya damu na kufanya mzunguko wa damu kuwa mdogo upande huo so automatic utajikuta unajigeuza mwenyewe bila kujua na kurelease upande huo wa mwili
  15. M

    JamiiForums Tanzania Mambo 8 ya kushangaza yanayofanywa na mwili wako kukulinda pasipo wewe kujua

    Ongezea;Ukipata kwikwi tulikuwa tunaambiwa kunywa maji na ukinywa tu kwikwi inakata,je ni sawa? Je kuna uhusiano ktk hili?
Back
Top Bottom