Blank page
JF-Expert Member
- May 28, 2015
- 6,154
- 6,279
kweli ase afurahie na vile joho ni chuo kikuu tu kuvaaa
yani nimeona tu huo mmechisho nimechekaje khaaaHeaven Sent atoto
Hebu kujeni kipande hii mjifunze kumechisha, cos mmezidi kuharibu mpangilio wa rangi. 😀
Heaven Sent atoto
Hebu kujeni kipande hii mjifunze kumechisha, cos mmezidi kuharibu mpangilio wa rangi. 😀
Mi imenitia huzuni hii picha..dogo itakuwa kakosa viatu huyuUso wake huo hapo mkuu.
View attachment 443033
[emoji23][emoji23][emoji23]loh
Kwani na MJ naye alikuwa mfuasi wa ccm?View attachment 443219 The late Michael Jackson akiwa na raisi mstaafu Ali Hassan Mwinyi kipindi kile MJ alipoitembelea Tanzania.
Hahahahaha,atakuwa mhitimu wa chuo cha Veta kitengo cha makodaktaTuma picha hapa unayokubali au kuifurahiaView attachment 441007
Aisee, hii ilikuwa sofa ya ikulu?View attachment 443219 The late Michael Jackson akiwa na raisi mstaafu Ali Hassan Mwinyi kipindi kile MJ alipoitembelea Tanzania.
Kwanini unauliza hivyo?Kwani na MJ naye alikuwa mfuasi wa ccm?
Naona alivaa kijani na pia alikuwa na "chairmen"wa ccmKwanini unauliza hivyo?
Ni nch gani mkuu niende huko likizo hii ya december![]()
mnasemaje wakuu