Mh Lwakatare, jibu uliloambulia limetengeneza historia kwako.

MAHANJU

JF-Expert Member
Aug 26, 2014
5,252
8,003
Unataka upunguziwe gharama za vifaa vya ujenzi jimboni kwako? Anzisha kiwanda cha kutengeneza mabati, na msaada utapata 100%.
Hili jibu lilikutosha kabisa, sidhani kama utaomba msaada tena.Na mimi nakushuari ungana na wanakagera wenzako popote walipo nchini jengeni kiwanda ili mpate mabati ya kutosha. Wapo kina Rugememalila,Rweyemamu na wengine mtaweza tu.
 
Alitakiwa aulize the other way round ndiyo angejibiwa vile alivyotegemea
 
  • Thanks
Reactions: MTK
Unataka upunguziwe gharama za vifaa vya ujenzi jimboni kwako? Anzisha kiwanda cha kutengeneza mabati, na msaada utapata 100%.
Hili jibu lilikutosha kabisa, sidhani kama utaomba msaada tena.Na mimi nakushuari ungana na wanakagera wenzako popote walipo nchini jengeni kiwanda ili mpate mabati ya kutosha. Wapo kina Rugememalila,Rweyemamu na wengine mtaweza tu.
wanakagera wanahitaji msaada sasa, wewe inasema wafanye mchakato wa kujenga kiwanda, ivi hicho kiwanda cha bati kinajengwa kwa mwezi mmoja, mbona tunatafuta sifa mahali siyo?
 
Duuu jibu noma sana
 
Akufurahishwa na ushangiliaji ule kutokana na umati wa watu uliokuwepo ikabidi awambie wanyooshe mikono duhhh noma kinoma
 
Unataka upunguziwe gharama za vifaa vya ujenzi jimboni kwako? Anzisha kiwanda cha kutengeneza mabati, na msaada utapata 100%.
Hili jibu lilikutosha kabisa, sidhani kama utaomba msaada tena.Na mimi nakushuari ungana na wanakagera wenzako popote walipo nchini jengeni kiwanda ili mpate mabati ya kutosha. Wapo kina Rugememalila,Rweyemamu na wengine mtaweza tu.

Kwlei kwa mahitaji ya haraka haraka ya unjenzi wa walioathirika na tetemeko, haitakuwa suluhu. Lakini nimemwelewa vizuri sana Mheshimiwa raisi. Maana yake ilikuwa kwamba, kwa gharama zilizopo za kuzalishwa bati sijui Dar, lisafirishwehadi lifike Bukoba, bila shaka litakuwa na gharama kubwa tu kuliko kama lingezalishwa pale Kyerwa.

Ninashauri Bukoba in Matajiri wengi, Mheshimiwa Mbunge amobilize, hata kama ni kuungana watengeneza kiwanda hicho pale Kyerwa. Tena inawezekana wakimwomba Mheshimiwa raisi hata nguvu kadhaa atawafanyia maarifa ili kianze usharishaji haraka. Pale wanapokwama Mheshimiwa kwa kuwa ametoa wazo lake, anaweza kabisa akawapiga jeck kwa namna moja ama nyingine.

Kuanzishwa kiwanda cha Bati Kyerwa, hakutasaidia ujenzi rahisi wa nyumba Bukoba tu,bali hata mikoa ya jirani na itakuwa biashara nzuri kwa wamiliki na huduma nzuri kwa wakazi wa kanda ya ziwa na nchi jirani.

Niashauri tulijadili hili suala kwa mtazamo chanya, tukijaribu kufumba macho juu ya madhaifu tuliyoyaona. No one is perfect at all times.
 
wanakagera wanahitaji msaada sasa, wewe inasema wafanye mchakato wa kujenga kiwanda, ivi hicho kiwanda cha bati kinajengwa kwa mwezi mmoja, mbona tunatafuta sifa mahali siyo?

Wamsubiri kwenye sanduku la Kura.
 
Jibu halikukuzingatia mateso wanayopata waathirika wa tetemeko. Halikuzingatia umuhimu wa mahitaji yao ya muda mrefu na muda mfupi. Halikuwa jibu la kiongozi wa nchi kwa watu wenye shida ambayo iko nje ya uwezo wao ( force majeure).
 
Mkuu wale washangiliaji ni wale wakuletwa mikutanoni na jukwaa kuu ambao wanatabia kama za wale jamaa zetu waliopo hapa JF.
Sidhani kama Ccm inaweza kupata hata Mwenyekiti wa mtaa

Hivi CCM ina wabunge wangapi na UKAWA wana wabunge wangapi? Miongoni mwa kura mlizopoteza bila rushwa mnayoihusisha CCM ni ya kwangu baada kutupa dhahabu na kutuwekea chupa.
 
Watanzania hampendi kuambiwa ukweli.
Toka lini serikali ikapunguza gharama za ujenzi kwa jimbo moja tu?,itafanyaje kwa mfano
 
Mh Lwakatare alijitahidi sana kuongea kwa unyenyekevu mkubwa kwa heshima zote, na kutoa Mfano hata wa Mwalimu kwa CDA.
Ila sasa akili ndogo ilijibu jibu lepesi ambalo limesababisha hata watoto wamdharau
 
Back
Top Bottom