Recent content by Mr nobody from nowhere

  1. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania The Real Hidden World

    Soft copy ninayo ila kinazinguwa kukiweka maana file ni kubwa
  2. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania The Real Hidden World

    Itakuwa njema sana ngoja niku pm ili unitumie mkuu
  3. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Fundamentals of Enlightenment (Kwa kiswahili)

    KWA madini haya nakuomba usikawie kuendelea
  4. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba na Elibariki Kingu, hata undugu kwenu kwa Lissu umekufa?

    Sema ww,usisemee nafsi za wenzako
  5. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu, Prof. Juma tuambie hujawahi kuwa mwanachama wa CCM?

    Wewe ulitaka awe Na kadi ya chadema?
  6. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Jaji Mkuu: Tusijifananishe na Kenya, Mahakama zetu zipo huru zaidi

    Hao wanao shinda kesi mnaowaita wasomi huwa wanashinda kesi kwenye mahakama zip?
  7. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Serikali iombe radhi familia ya Lissu na CHADEMA.

    Jitekenyeni
  8. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Hili la NSSF kutokutoa mafao yetu ni kweli?

    Vipi kuhusu ppf nao wanatoa au Ndo chenga tuu
  9. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Mrejesho: Manunuzi ya mtandaoni (ebay)

    Ngoja Na Mimi nitoe woga niingie huku kujaribu shopping online Na eBay .
  10. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Anafikiri atatupumbaza kwa miundombinu tunayojenga kwa mikopo na kodi zetu?

    Umelogwa kweli ,pole kwahio ulitaka atoe fedha mfukoni mwake hats Huyo unayemtaka angetoa hela mfukoni mwake ?acheni kujitoa ufahamu
  11. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania FACT CHECK: Roma hakutekwa, alijiteka kwa maslahi binafsi ya kiMuziki

    Hapo kwenye guo VP ?walibadilishaje nguo au waliondoka Na mabegi?
  12. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Umasikini ndio hatari kwa usalama wa nchi, sio nyimbo za wasanii

    Inamaana Ndo kamteka,pumba kabisa wewe
  13. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Hussein Bashe: Umasikini ndio hatari kwa usalama wa nchi, sio nyimbo za wasanii

    Kwani kakamatwa Na Polish au Ndo hisia zako tuu.
  14. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Meditation in your daily routine

    Asante
  15. Mr nobody from nowhere

    JamiiForums Tanzania Rais Magufuli akiamua kuwa Rais wa maisha kuna wa kumzuia?

    Hats kikwete mlimsemaga hiyvo
Back
Top Bottom