Recent content by Mr.nameless

  1. M

    Niulize swali lolote kuhusiana na hisa pamoja na masoko ya hisa

    Habari za jioni watanzania wenzangu. Nahitaji kujua wanao nunua Hisa wanapataje faida? Je unaweza kununua Hisa mda wowote na kuuza mda wowote? Faida na hasara za Hisa? Na utaratu ukoje ili uweze kununua Hisa? Ni hayo tu nawakaribisha kwa majibu ya swali langu.
  2. M

    Nina Tshs. 45 milioni, Nifanye biashara gani?

    Fuga kuku wa kienyeji hawana ule uangalizi sana pia hata mayai ya kienyeji yana soko kubwa na hadimu kupatikana
  3. M

    Hii tabia dada zetu mmeitoa wapi siku hizi?

    Dawa yake ndogo tu mkuu safiri nae
  4. M

    Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

    AVOIDING A BAD MARRIAGE. After salvation, the most important choice you will need to make is who to marry. This choice is so important that if you miss it, you will suffer for long, if you get it right then you will enjoy forever. A bad marriage can affect every other area of your life...
  5. M

    Bado nampenda mpenzi wangu, naomba ushauri nifanyaje?

    chuma cha reli AVOIDING A BAD MARRIAGE. By Pastor Chris Oyakhilome PhD. After salvation, the most important choice you will need to make is who to marry. This choice is so important that if you miss it, you will suffer for long, if you get it right then you will enjoy forever. A bad marriage...
  6. M

    Bado nampenda mpenzi wangu, naomba ushauri nifanyaje?

    Mkuu unaolea familia yako au unamuoa ww?
  7. M

    Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

    Kama kweli anakupenda atakutafuta tu....Waswahili wanasema raha ya mapenzi kupendana sio kujipendekeza.
  8. M

    Nifanyaje ili nisipende sana, naomba ushauri

    Kuna vi2 ving umeongea kuhusu tabia za bf wako naona zimefanana na gf wang ila nilichoamua mm kukaa kimya mpk anitafute huku naendelea kutengeneza maisha yang kama sipo nae
  9. M

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Mimi nipo Dar nahitaji kutoa hayo mazao mikoani na kuleta hapa Dar kuuza.
  10. M

    Biashara ya Kununua na Kuuza Mazao (nafaka): Jifunze Mbinu za Kuanzisha na Kusimamia

    Nahitaji kujua kwa aliyewahi kufanya biashara kuchukua mazao kijijini huko na kuleta mjini na gharama zake pia na usafiri na kuja kuuza bei ya jumla na mazao yenyewe kama nyanya, karoti, vitunguu saum au maji n.k. Na biashara ya nafaka kama mchele, maharage, mahindi, ulezi, mtama, ngano.
  11. M

    Napenda kutoa shukurani zangu za dhati kwa mitandao ya simu nchini

    Kama ujui faida za internet mpaka saiv muda huu.. Jiulize mada yako umepost kwa njia gan na ukijibu basi ujue hilo ndo jibu lako na usiulize tena...Au kama umepost kwa njia ya S.L.P. sawa endelea kuuliza
Back
Top Bottom