Recent content by Mr Mtu

  1. M

    JamiiForums Tanzania Mwanamke wa kikuria anayehitaji mme wa maisha! Amepata,soma hapa...

    Mimi ni mwanaume nina umri wa miaka 32,Mtanzania,Mkuria,mkiristo,mrefu futi 5'9,mweusi kidogo(maji ya kunde),umbo langu ni la wastan,graduate,nafanya kazi serikalini,nipo Mwanza mjini,nahitaji mwanamke wa kikuria mwenye sifa zifuatazo; 1. Awe mkuria umri(22-28) 2. Urefu fut 5'0-5'9 3. Mweusi...
  2. M

    JamiiForums Tanzania NENO LA LEO:Wewe uliyeko kwenye mahusiano usipuuzie ishara

    Nimeupenda saaaaaaana!
  3. M

    JamiiForums Tanzania Utapigwa tu! Utapigwa tu! Utapigwa tu!................utaaaaaaaap igwatuuuuuuuuu!

    Sijui kesho watapiga nani!!!!!!?????? Labda ni mimi Ee Mwenyezi Mungu naomba nirehemu...... Ipo siku utaitaka damu yetu mikononi mwao!!!!!
  4. M

    JamiiForums Tanzania Mapya ya anaedai kubakwa na kapuya...

    Mkuu umechafua hal ya hewa... Ebu ona unavyojikanganya!
  5. M

    JamiiForums Tanzania Ahsante! Ahsante! Ahsante! Mwaaah... Hahahaaa... Jamani hadi raha kwa kweli, mweh! Sio mchezo

    We kutoa moja unaona upo juu! Mi nimetoa 5 ikiwemo ya Mrs,sometimes ilinichukuwa mda kwa bikira zingine na wakati mwingine nilikuwa ninanuniwa hadi zaid ya siku 3 af baadaye napendwa mno hadi leo wananikumbuka! Hiyo yako ya just siku 1 af unachekewa sijaelewa elewa vile!
  6. M

    JamiiForums Tanzania Gharama tanapa

    Asante mkuu
  7. M

    JamiiForums Tanzania Ananipima au hanitaki?

    Usilazimishe ndoa! Ndio maana jamaa hakuelewi elewi,na inawezekana tabia yako inamkera 'Miss Complicator' umri unaenda huo jipange upya
  8. M

    JamiiForums Tanzania Gharama tanapa

    Wakuu,naombeni ambaye anazifahamu gharama za kutembelea mbuga ya wanyama ya Serengeti anipe,nipo Mwanza,je ninaweza anzia safari huku? Au hadi wapi? Nataka twende huko na mke wangu,nimejaribu kwa simu ku-download fail halifunguki ni pdf... Ahsanteni sana
  9. M

    JamiiForums Tanzania Mwalimu matatani kwa kukodi walawiti wa mwanafunzi wake

    Mwalimu huyu ni mpuuzi sana!
  10. M

    JamiiForums Tanzania KWA wadadA..Hii lugha kitandani inanishangaza,,

    Amang'ana ghasarikele!
  11. M

    JamiiForums Tanzania Vimbwanga vya Vodacom#Promo#

    Pikipiki 30! + 17m. ! Useless,we c wakala endeleeni kuwadanganya na kuwaibia wajinga!
  12. M

    JamiiForums Tanzania Hii inshu ni yakweli au natapeliwa???

    Bila shaka baba anaitwa Dr Phillip Desmund! Usinambie nimejuaje! Achana nao
  13. M

    JamiiForums Tanzania Hii inshu ni yakweli au natapeliwa???

    Andika jina la baba yake huyo binti ktk mtandao uone mambo!? UTAPELI HUO '419 SCAM' andika hv ktk mtandao uone mambo! Hiyo Avatar ya huyo demu ni 'FAKE' Ni Wanaigeria wanaofanya UPUMBAVU HUO! ACHA KABISA! KAA KMYA
  14. M

    JamiiForums Tanzania Nafanya biashara lakini sijamwambia mume wangu, ushauri tafadhali

    Dah ama kwel wanaume tuna kazi! Wewe umesema, je ambao hawajasema!? Hapa hakuna ndoa,isitoshe huyo mmeo unamnyanyasa sana,hadi unaenda nje ya 'inji' aisee mama yangu!? Kisingizio kazi!? Hakuna SIRI YA MTU MMOJA IPO SIKU UTAUMBUKA NA SI MBALI... Endelea na huo ubin-a-fisi
  15. M

    JamiiForums Tanzania Vimbwanga vya Vodacom#Promo#

    Hii ndio inanifanya niamin kuwa watu masikini wa fikra wenye mawazo yatima wanaamini katika kupata utajiri au vitu vya haraka haraka... Kumbe hata humu JF wamo!? Endeleen kuyatajirisha makampuni ya simu! Afu mtaniambia mmepata bodaboda ngapi! Swaiiiin!
Back
Top Bottom