Recent content by mr mpole

  1. mr mpole

    JamiiForums Tanzania BAKWATA: Wasichana wa umri wa miaka 14 waendelee kuolewa

    Kila kitu kiangaliwe mazingira wengine wana miaka13 umbo kubwa ataki kusoma na ameanza balaa kitaani, katokea MTU wa kumuoa na mwenyewe kakubali je? Apo vipi. Wengine umri uo bado watoto kabisa ata kuvunja bado . Kila kitu kifanyike kikiwa tayari.
  2. mr mpole

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenye wadada wa kazi wa Kiisilamu acheni kuwanyanyasa kwasababu ya kufunga Ramadhani

    Sio Zanzibar pekee Somalia Afghanistan etc zipo nchi kama ufaransa kuvaa ijabu tu imekuwa shida
  3. mr mpole

    JamiiForums Tanzania Wakristo wenye wadada wa kazi wa Kiisilamu acheni kuwanyanyasa kwasababu ya kufunga Ramadhani

    Mwisilamu anatakiwa ampe Uhuru mkiristo ambao autoaribu mambo yake ndani mfano ampe chakula ale ila asile mbele ya waliofunga mkiristo Naye ampe chakula mwisilamu wakati wa kufungua kusiwe na vineno kote uko.
  4. mr mpole

    JamiiForums Tanzania Kuna kitu hakipo sawa makanisani, ni muda wa wakristo kuamka na kuhoji

    Kuweni waislamu, Kule mpaka chenchi wanarudisha ukitoa buku unarudishiwa jero lako ngoja nifikirie
  5. mr mpole

    JamiiForums Tanzania Dark days 17/03/20

    Nimeelewa kwa mujibu wa kichwa changu
  6. mr mpole

    JamiiForums Tanzania Special Thread: Picha za Warembo Wakali World wide. Tupia picha Only Beautiful Ladies

    Urembo au makalio
  7. mr mpole

    JamiiForums Tanzania Huenda kuna waislam wengi duniani wameshazikwa wakiwa hai

    Mleta Uzi anaogopa kufa Kufa ni kufa mungu ndio mjuaji zaidi we fuata maelekezo yake yeye ndio mjuaji zaidi. Pale ulipokuwa mdogo unaambiwa na mzazi wako nenda shule ulikuwa unaona mateso sasa ona shule ilivyokusaidia na wewe unaandika vizuri tu
  8. mr mpole

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Jina la mtoto linaloanza na herufi G

    G the masonic
  9. mr mpole

    JamiiForums Tanzania Manyara: Rais Magufuli azindua Ukuta wa Mirerani uliojengwa na JKT, ampa milioni 100 mgunduzi wa Tanzanite

    naombeni nafasi na mimi nikazindue ata kimoja maana mawaziri wengine hawajielewi naomba fursa
  10. mr mpole

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Bei ya mabati ya ALAF

    namba
  11. mr mpole

    JamiiForums Tanzania Naomba kujua Bei ya mabati ya ALAF

    ungeweka nachif tukusaidie kwa uakika
  12. mr mpole

    JamiiForums Tanzania Modern Day Girls

    kipapuchi kimeng'oka pia mpaka ii ni ya uongo
Back
Top Bottom