katomailegero
Senior Member
- Nov 11, 2016
- 156
- 186
Gashite
Ahsante sana kiongozi, ni kweli mkuu maana nataka nidumishe GMkuu hongera unataka kuja mlemle Mimi mwanangu wa kwanza anaitwa Goodluck na wa pili anaitwa Goodwin au Godwine
Nb Goodwin ina maana sawa na Godwine ikimaanisha rafiki wa Mungu.
Kuna wakati majirani huwa wanashindwa kuwatofautisha majina yao kabisaAhsante sana kiongozi, ni kweli mkuu maana nataka nidumishe G