Wangapi wametishia kuua hadharan na hapajafungwa wala kukamatwa...!!!? Wangapi wameua wazi kabisa Kwa raia wasio na kosa na je wamekamatwa au kufungwa hata tu siku moja? Iweje Kwa mtu aliesema tena kijiweni "ANATANIA" hafu afungwe...!!?? Duuh
Hujaona anahusikaje au hujasoma alivyokuwa anasema watu waache kupotosha Nchi haijajitoa...!!! Sasa nini hiki je pasipo hata kufikir analazim kukir eti sio kwel Kati ni sahih anaogopa watu wasihoji au?
Unaushaid kwel wa kuthibisha Kuwa wapinzan hawataki kusikiliza Mawazo tofaut na udikteta wao Uko wap...!!? Eb Sema kat ya wapinzan na utawala nan hataki kusikiliza hoja za mwenzake...!!? Na kwann wasiskilizwe yanayowezkana kutatuliwa yatatuliwe kwa mjib wa sheria na katiba...!!!? Mfano
1)...
Mfanya kosa hataki kukubali kosa...!!! Hataki hata kusikiliza hoja za mlalamikaji Unazan kutakuwa na uelewano kwel..!!? Kama wanaona waliosusia uchaguzi wamekosea bas wasikilize hoja zao na malalamiko yao na achunguzwe kisha suruhu.... Sasa hawataki hata kuyasikiliza Unazan kipi...
Sasa kama mtu Hayupo akatoa ushirikiano hamuwezi kuendelea na uchunguzi...!!! Ko Azory Gwanda ambaye Hayupo Nani atawapa taarfa....?? Na Kama ni wananchi je kwann taarfa zilizopo za namna ya kupata taarfa za Tundu Lissu msitumie hzo japo tu kupata hata wa kuhoji....!!! Mf. Nani alikuwa mlinzi...
Yaani wanajukwaa mie nalisema Hili Ila Kama lilikuwepo bas ndio Hvyo....!!! Tangu uhuru Mpk sasa Dini zote kubwa hapa Nchini zilichangamana si Uislam au Ukristo(Roma) zingatia haya....!!!
Wakati wa Muungano Tanganyika na Zanzibar, Tanganyika iliongozwa na mtawala ambaye ni Mkristo(Roma) ambao...
Jaman muunganiko huu wa Dini na serikali Huwez kuuondoa maana midomon hunena....!!! ''serikali haifungamani na Dini yoyote kila mtu anayohaki ya kusali popote" lakin Dini kubwa hapa nchin ndio kiini cha uongoz kweny Nchi ya Ahadi.... Ko Huwez kusikia tamko lolote kukosoa utawala maana wanajua...
Kumbuken hata mtu akipenda ndege haangalii Uzur au urembo Ila huduma na ukalim anaoutoa mtu...!!! Pia waweza Kuwa mzur wa kuvutia kutoa huduma ukawa hovyo...!! Au kule ndan wanatakiwa wenye mvuto wawe wanatamaniha wanaume ili wajiuze...? Achen ubaguzi wa rangi au Sula we ni mwanamke km...
kwel unahakika na ulivyoandika au umekosea kutype...!!! Ni wabunge wangapi wamesimama kulizungumzia Hili wanawaita wachochezi...? Ni watu wangapi wamehoji kuhusu Swala la Lissu wanaambiwa kuhatarisha Aman ya Nchi...? Amaa kwel lisilo lako Huwez kuliona Uzito wake....!!! Endelea tu kupumua...
Yaan hayo wanayosema wamekopa Kwa akili ya kufanya shughur za maendeleo ya Nchi....!!
1)hayo maendeleo ni yap.?
2) je zile hela ambazo Mtukufu Rais wetu anasema niza wanyonge na zinafanya shughur za maendeleo zimefanya maendeleo yapi? na hiizo zilizokopwa zimefanya yapi?
Ko Kwa kila afanyacho ni Kwa mujibu wa sheria na Katiba ya Nchi Hivyo chochote ukionacho huwezi fanya usijilaumu bali tafuta namna ya kurekebisha sehemu nawe utimize yapasayo na unayoona yanafaa ila kwa hivi bado sauti zitatoka Ila NEVER GAIN ANYTHING
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.