Hivi KKKT na Askofu Mkuu mlipataje hamasa ya kutoa ule waraka uliojaa siasa na msipate hamasa kukemea ushoga?

Status
Not open for further replies.

Interest

JF-Expert Member
Apr 11, 2015
3,434
7,055
Msomi fulani ameuliza hili swali.. Kuna majibu nimfikishie?!
======

VIONGOZI WA KIROHO VIPI?

Hivi dhambi ipi itendwe zaidi ya hii ndio mkemee? Hii ni dhambi iliyosababisha Mungu wetu akaangamiza jamii. Iweje watumishi wake mkae kimya dhambi hii ikitendwa na kutetewa hadharani? Mnashindwa na serikali? Serikali inakemea na kupambana nayo nyie watumishi kimyaaa!!!!! Tuwe tunaenda kusali serikali ni tuachane nanyi?

Walau tumemsikia shehe mmoja binafsi akikemea na kuipongeza serikali. Mungu ambariki sana sana sana! Hakika hizi ni nyakati za majaribio.

Ni wacha mungu Wa kweli tu watasimamisha neno na utukufu Wa mungu.

Wanafiki watakaa kimya na waovu watafurahia na watatenda uovu.
BAKWATA, TEC na wenzenu hamuoni soni? Hivi kanisa lililoazimisha miaka 150 juzi pale Bagamoyo halikuona umuhimu wa kutoa tamko kali kukemea uovu huu?

BAKWATA waislamu tumeambiwa atakayemwingilia mwenza wake kinyume siku ya kiama Allah hatamtizama uso wake na hataiona pepo ya Allah! Vipi nyie muwe bubu kwa hili?

Hivi KKKT na Askofu Mkuu mlipataje hamasa ya kutoa ule waraka uliojaa siasa na msipate hamasa kukemea huu uovu? Kwenu nyie haki za kuandamana ni jambo zito kushinda huu uovu? Hebu toeni tamko basi!

Kwa yeyote anayedhani anamhimidi Mungu na akakaa kimya au akashabikia uovu huu basi ajue jehanamu inamhusu. Haiwezekani uovu mkubwa kiasi hiki utendwe katika ardhi na utangazwe hadharani halafu watu waendao misikitini na makanisani wakae kimya.
 
Acha kuisingizia serikali mambo ya uongo,serikali imemkana makonda na kusema yenyewe itaheshimu mikataba ya kimataifa waliyoingia na kusema maneno ya Makonda ni yake binafsi na wala si msimamo wa serikali!
 
Ushoga wangeukemea ila una vinasaba na CHADEMA, fatuma ameshatia doa , na KKKT ni CHADEMA
Serikali imetoa tamko rasmi kuwa ushoga utalindiwa haki zao,kwa CDM unawasingizia tu maana hakuna kiongozi yeyote wa CDM aliyeunga mkono ushoga wala hakuna taarifa ya chama kuunga mkono ushoga!
 
Ushoga wangeukemea ila una vinasaba na CHADEMA, fatuma ameshatia doa , na KKKT ni CHADEMA
IMG-20181106-WA0004.jpeg
 
Msomi fulani ameuliza hili swali.. Kuna majibu nimfikishie?!
======

VIONGOZI WA KIROHO VIPI?

Hivi dhambi ipi itendwe zaidi ya hii ndio mkemee? Hii ni dhambi iliyosababisha Mungu wetu akaangamiza jamii. Iweje watumishi wake mkae kimya dhambi hii ikitendwa na kutetewa hadharani? Mnashindwa na serikali? Serikali inakemea na kupambana nayo nyie watumishi kimyaaa!!!!! Tuwe tunaenda kusali serikali ni tuachane nanyi?

Walau tumemsikia shehe mmoja binafsi akikemea na kuipongeza serikali. Mungu ambariki sana sana sana! Hakika hizi ni nyakati za majaribio.

Ni wacha mungu Wa kweli tu watasimamisha neno na utukufu Wa mungu.

Wanafiki watakaa kimya na waovu watafurahia na watatenda uovu.
BAKWATA, TEC na wenzenu hamuoni soni? Hivi kanisa lililoazimisha miaka 150 juzi pale Bagamoyo halikuona umuhimu wa kutoa tamko kali kukemea uovu huu?

BAKWATA waislamu tumeambiwa atakayemwingilia mwenza wake kinyume siku ya kiama Allah hatamtizama uso wake na hataiona pepo ya Allah! Vipi nyie muwe bubu kwa hili?

Hivi KKKT na Askofu Mkuu mlipataje hamasa ya kutoa ule waraka uliojaa siasa na msipate hamasa kukemea huu uovu? Kwenu nyie haki za kuandamana ni jambo zito kushinda huu uovu? Hebu toeni tamko basi!

Kwa yeyote anayedhani anamhimidi Mungu na akakaa kimya au akashabikia uovu huu basi ajue jehanamu inamhusu. Haiwezekani uovu mkubwa kiasi hiki utendwe katika ardhi na utangazwe hadharani halafu watu waendao misikitini na makanisani wakae kimya.
Wewee ebu acha ulofa! Huyo Mungu ulimjulia wapi kama so kupitia vitabu walivyoleta wazungu na waarabu?!
Wawezaje kujifanya unajua anachochukia Mungu ikiwa wanaomjua Mungu kukuzidi ndio wanahalalisha huo ushoga na usagaji?!
 
Msomi fulani ameuliza hili swali.. Kuna majibu nimfikishie?!
======

VIONGOZI WA KIROHO VIPI?

Hivi dhambi ipi itendwe zaidi ya hii ndio mkemee? Hii ni dhambi iliyosababisha Mungu wetu akaangamiza jamii. Iweje watumishi wake mkae kimya dhambi hii ikitendwa na kutetewa hadharani? Mnashindwa na serikali? Serikali inakemea na kupambana nayo nyie watumishi kimyaaa!!!!! Tuwe tunaenda kusali serikali ni tuachane nanyi?

Walau tumemsikia shehe mmoja binafsi akikemea na kuipongeza serikali. Mungu ambariki sana sana sana! Hakika hizi ni nyakati za majaribio.

Ni wacha mungu Wa kweli tu watasimamisha neno na utukufu Wa mungu.

Wanafiki watakaa kimya na waovu watafurahia na watatenda uovu.
BAKWATA, TEC na wenzenu hamuoni soni? Hivi kanisa lililoazimisha miaka 150 juzi pale Bagamoyo halikuona umuhimu wa kutoa tamko kali kukemea uovu huu?

BAKWATA waislamu tumeambiwa atakayemwingilia mwenza wake kinyume siku ya kiama Allah hatamtizama uso wake na hataiona pepo ya Allah! Vipi nyie muwe bubu kwa hili?

Hivi KKKT na Askofu Mkuu mlipataje hamasa ya kutoa ule waraka uliojaa siasa na msipate hamasa kukemea huu uovu? Kwenu nyie haki za kuandamana ni jambo zito kushinda huu uovu? Hebu toeni tamko basi!

Kwa yeyote anayedhani anamhimidi Mungu na akakaa kimya au akashabikia uovu huu basi ajue jehanamu inamhusu. Haiwezekani uovu mkubwa kiasi hiki utendwe katika ardhi na utangazwe hadharani halafu watu waendao misikitini na makanisani wakae kimya.
Ni unafiki wabongo. Ufirauni bongo uko kitambo tu sema under the radars...Huyu Amber Ruti ndo kaleta kizazaa!Ukiongezea na huyo Konki konki konki Master, ndo tabu zaidi. Kuwasingizia maaskofu ni upungufu uliokithiri wa akili. Nadhani huko mbeleni itakuja kuwa kinyume cha sheria kutembea popote ukiwa na akili kama hii.Yani a menace to society that you will be banned from the general population. Be it cyber!

Kwasababu madhara ya akili kama hizi kwa jamii yatakuja kuwa makubwa zaidi kiasi cha watu kama nyie kuhitajika kuwa contained. Na sizungumzii mirembe. Kuwepo tu na vitambulisho vyenu ili muweze kuepukwa kwa urahisi. Damn!
 
Siku hizi dini zenyewe yamebaki majumba tu wanakokusnyika watu na manembo nje lakini hamna kitu tena huko bingwa. Ndoa wanazozisimami na kufungisha kila kitu zimewashinda watu wanaachana daily ije kuwa huu mziki..!!???😬😬😬😬😬😬😈😈😈😈😈
 
Inawezekana hata kanisani huendi....binafsi kila ninapohudhuria kanisani dhima yamahubiri hua ni.kuacha dhambi na kutenda mema, sasa unaposema Maaskofuhawakemei sijui unamaanisha wasimame majukwaani waanze kuwataja au ? nway akili ni.yako na unaijua mwenyewe.
 
Waraka baba. Waraka.
 
Msomi fulani ameuliza hili swali.. Kuna majibu nimfikishie?!
======

VIONGOZI WA KIROHO VIPI?

Hivi dhambi ipi itendwe zaidi ya hii ndio mkemee? Hii ni dhambi iliyosababisha Mungu wetu akaangamiza jamii. Iweje watumishi wake mkae kimya dhambi hii ikitendwa na kutetewa hadharani? Mnashindwa na serikali? Serikali inakemea na kupambana nayo nyie watumishi kimyaaa!!!!! Tuwe tunaenda kusali serikali ni tuachane nanyi?

Walau tumemsikia shehe mmoja binafsi akikemea na kuipongeza serikali. Mungu ambariki sana sana sana! Hakika hizi ni nyakati za majaribio.

Ni wacha mungu Wa kweli tu watasimamisha neno na utukufu Wa mungu.

Wanafiki watakaa kimya na waovu watafurahia na watatenda uovu.
BAKWATA, TEC na wenzenu hamuoni soni? Hivi kanisa lililoazimisha miaka 150 juzi pale Bagamoyo halikuona umuhimu wa kutoa tamko kali kukemea uovu huu?

BAKWATA waislamu tumeambiwa atakayemwingilia mwenza wake kinyume siku ya kiama Allah hatamtizama uso wake na hataiona pepo ya Allah! Vipi nyie muwe bubu kwa hili?

Hivi KKKT na Askofu Mkuu mlipataje hamasa ya kutoa ule waraka uliojaa siasa na msipate hamasa kukemea huu uovu? Kwenu nyie haki za kuandamana ni jambo zito kushinda huu uovu? Hebu toeni tamko basi!

Kwa yeyote anayedhani anamhimidi Mungu na akakaa kimya au akashabikia uovu huu basi ajue jehanamu inamhusu. Haiwezekani uovu mkubwa kiasi hiki utendwe katika ardhi na utangazwe hadharani halafu watu waendao misikitini na makanisani wakae kimya.
Kweli nimeamini duniani ni mahali pa shetani,
 
Kwa hiyo sasa makanisa yafatishe bashite kasema nini na wao watoe waraka, hizo bits mtazicheza wenyewe si mmecompose wenyewe.
 
Jaman muunganiko huu wa Dini na serikali Huwez kuuondoa maana midomon hunena....!!! ''serikali haifungamani na Dini yoyote kila mtu anayohaki ya kusali popote" lakin Dini kubwa hapa nchin ndio kiini cha uongoz kweny Nchi ya Ahadi.... Ko Huwez kusikia tamko lolote kukosoa utawala maana wanajua wao ndio wanakula....!!! Baba mzaz(dini?)=>Aliyepangwa kufata(dini?)=>je baba wa tatu(dini?)=>Ebu angalia wa nne(dini?)=> je stronger to survive without struggle (dini?).... !!!! Sasa Subir anapikwa wa sixth level so no one from any religion can violet the system of leadership until... Change in constitution...!!!!

Cc Hide my ID
 
Msomi fulani ameuliza hili swali.. Kuna majibu nimfikishie?!
======

VIONGOZI WA KIROHO VIPI?

Hivi dhambi ipi itendwe zaidi ya hii ndio mkemee? Hii ni dhambi iliyosababisha Mungu wetu akaangamiza jamii. Iweje watumishi wake mkae kimya dhambi hii ikitendwa na kutetewa hadharani? Mnashindwa na serikali? Serikali inakemea na kupambana nayo nyie watumishi kimyaaa!!!!! Tuwe tunaenda kusali serikali ni tuachane nanyi?

Walau tumemsikia shehe mmoja binafsi akikemea na kuipongeza serikali. Mungu ambariki sana sana sana! Hakika hizi ni nyakati za majaribio.

Ni wacha mungu Wa kweli tu watasimamisha neno na utukufu Wa mungu.

Wanafiki watakaa kimya na waovu watafurahia na watatenda uovu.
BAKWATA, TEC na wenzenu hamuoni soni? Hivi kanisa lililoazimisha miaka 150 juzi pale Bagamoyo halikuona umuhimu wa kutoa tamko kali kukemea uovu huu?

BAKWATA waislamu tumeambiwa atakayemwingilia mwenza wake kinyume siku ya kiama Allah hatamtizama uso wake na hataiona pepo ya Allah! Vipi nyie muwe bubu kwa hili?

Hivi KKKT na Askofu Mkuu mlipataje hamasa ya kutoa ule waraka uliojaa siasa na msipate hamasa kukemea huu uovu? Kwenu nyie haki za kuandamana ni jambo zito kushinda huu uovu? Hebu toeni tamko basi!

Kwa yeyote anayedhani anamhimidi Mungu na akakaa kimya au akashabikia uovu huu basi ajue jehanamu inamhusu. Haiwezekani uovu mkubwa kiasi hiki utendwe katika ardhi na utangazwe hadharani halafu watu waendao misikitini na makanisani wakae kimya.
Sasa kama wao hawana ushahidi wafanyeje?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom