Recent content by Mr Mhando

  1. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Nimekumisi sana Baba mwenye nyumba wangu

    Aiseeee 🤣
  2. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Nimekumisi sana Baba mwenye nyumba wangu

    Aweeeee no no no, nefa nefa
  3. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Nimekumisi sana Baba mwenye nyumba wangu

    Aweeeee mimi strait bhaba
  4. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Nimekumisi sana Baba mwenye nyumba wangu

    Leo nimekaa nimemkumbuka baba mwenye nyumba yangu, kipindi nipo chuo huko mkoa Xy nilikuwa mlevi sana na baba mwenye nyumba yangu alikuwa ni mlevi sana, lakini walevi wastaarabu, tuliivana sana, Sasa ilikuwa kila ikifika muda wa kodi lazima pesa nimpe siku ya ijumaa, nitamtegea muda yupo...
  5. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Kuhusu swala la umeme serikari inatuchukuliaje ?

    Sijui tunaiandaaje Tanzania ya kesho, poor pooor
  6. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Kuhusu swala la umeme serikari inatuchukuliaje ?

    Hivi serikari yetu inatuchukukiaje wananchi, hivi ni kweli kabisa tumeshindwa kuzalisha umeme wetu wenyewe, Tusichukulie mazoea kwamba sio mala ya kwanza kununua mbona tunanunua zambia umeme wa Rukwa, kwamba kagera umeme wa Uganda, ivi tuna mabwa mangapi? Tuje tulinganishe kati ya bwawa la...
  7. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Au Tubadili Rangi

    Hapana kuna muda kama umezoa kula ugari maharage kila siku siku nyingine unabadili ili kuwa na afya nzuri 😂
  8. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Au Tubadili Rangi

    Tu Kuna rangi imebeba maaana kubwa sana kwenye uchumi lakini bora wangechagua rangi ya kijivu, ingependeza sana
  9. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Au Tubadili Rangi

    Mlevi na Redio 1 Mlevi kajilaza, chupa mkononi, Redio inavuma, kwa sauti laini, Sifa kwa rangi, zinasikika mbali, Lakini mitaani, shida ni ile ile. 2 Barabara mashimo, taa hazing’ai, Bei ya chakula, imeshika mbio, Ajira ni ndoto, vijana wanalia, Lakini wasema, "Maisha ni bora!" 3 Mlevi...
  10. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Naona Toxic kaamua kumtolea uvivu Young Lunya

    Ahahahha toxic good try😄😄😄
  11. Mr Mhando

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Nahitaji ushauri wa haraka sana maana nahisi Nachanganyikiwa sasa

    Girs cheat for love boys cheat for sex (Plato) tafakari chukua hatua
  12. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata soko la Upupu (Velvet Beans), au Mucuna

    Ingia google andika velvet beans, hutumika kutengeneza kahawa, biskuti na baadhi ya vipodozi, sio huo unaowasha😂
  13. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata soko la Upupu (Velvet Beans), au Mucuna

    Upo moshi
  14. Mr Mhando

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kupata soko la Upupu (Velvet Beans), au Mucuna

    Habarini za muda huu naombeni mawazovyenu nimelima upupu au velvet beans naombeni msaada wa soko, black Velvet ipo ya kutosha zaidi ya tani kumi, nahitaji wanunuzi =========
Back
Top Bottom