Mie naomba kuliza wanatolewa na nani hizo bikla mana kama waharibufu ni sisi na wao wote na we kwanzia Leo usigonge dem yoyote pak uoe ili tuwalinde na zambi
Usiukumu watu wote kwa kosa LA mmoja ni vema ukaomba ufafanuzi kwa walichofanya . kwani malekani wanatangaza ushoga na wengi n wakristo je n kweli waumini wote wako ivyo
Kwa nn umetowa mfano wa CR na Mess na sio kichuya na Mess ni kwa sababu unajuwa wazi kuwa ndio MTU peeke anatikisa mess na mess ndie anayemtikisa Cr kama wewe unajuwa mpira zaid ya wale FIFA wanaotowa tuzo na kutunga sheria sawa haina shida na sio lazima wewe ukiwa mlokole wote tuwe walokole...
Sikia moja kama unafanya mapenz kinyume na maumbile basi ni rahisi kutaman mwanaume mana ke na me ndio tofauti zetu kubwa na moja ya madhara ya Ku*#la ni kuaribu saikorojia ya mfanyaji na mfanywa so mie nakushauri kama unafanya hvy acha kabisa na baadae utaona hy hari itaondoka taratibu
Mh pengine kweli watu wanaufaham mdogo kuhusu jinsia na ujinsia ila hivyo vitu sio nature na kumbuka nature always wine ndio sababu hata aliyetunga usawa kwa mwanamke na watoto pia moyoni ninahakika hakubali hilo. Sikia hy sio hari ya kawaida wala usimdanganye na kumtukana pia sio sawa...
Sijakuelewa unawaona sawa mwanamke na mwanaume.najuwa mwanamke unataman kumla si ndio sasa je unapomwona mwanaume unajisikiaje unatamani kuwa yeye ndio akufanye au unamtamani unamuona sawa na mwanamke naomba nifafanulie kisha nitakupa jib nn kinachokusumbua mana hayo ni matatiz mawili tofauti bro
Madrid wana mid bora kwa sasa duniani ambayo ndio sababu ya ushindi wao wanatengenez nafasi na kudhibiti timu pinzani wasichez vizuri ila wana beki wabovu sana na kipa mbovu wanaruhusu magori karib kila mech juve wana beki nzuri sanaa ila washambuliaji hafifu.lakini juve ndio timu inayomfung...
Bungeni bashi alisema,tindu lisu , alisema, mea wa jiji dar alisema, zito alisema, pia bungeni waliongelea kwa ujumla kuwa u salama wa taifa wameunda kikosi na kinateka watu JE hao wate tuwapeleke huko au unadhani wate walipanga kuropoka na je kama si kweli mbona serika ikae kmya uwe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.