Uko vizuri sana mkuu. Umejaribu kuweka kila kitu wazi kiasi kwamba mtu akifuata maelezo yako ananzaa kuona matunda leo leo. Pia usikate tamaa kushare njia mbalimbali mkuu maana wako wengi wata disi ila wachache wanafanyia kazi hata kama hawatakwambia asante. Kwa wenzetu njia kama hii huwezi pewa...
Ningepata watu ambao wako serious ningewafundisha kozi moja yakutengengeza pesa kupitia social media. Ambayo utaweza pata $50 easily. Na hii auto pilot kabisa.
Wala hilo sio tatizo kubwa kuna njia nyingi tu na salama kama Payoneer. Tatizo IT wa Tanzania sio wabunifu wao ni theory nyingi kichwani. Nina amini kama IT unaweza kupata pesa nyingi sana online kama ukiwa mjanja na mbunifu. Kuna rafiki zangu ambao ni IT nilikua nawashangaa sana kukuta...
Kwa kweli kama Tunaweza kuungana kwa hili na kuwashawishi Paypal itakua jambo la kheri sana. Mimi binafsi nimekua muhanga wa hili tatizo. Kwa sasa natumia Payoneer na watu wengi wa njee hawana au hawapendi kutumia. Kila mteja anakuambia wanalipa kwa paypal.
Ila kweli paypal wakiruhusu sisi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.