Hili ndio tatizo la simu original hadi watu wengi wanaona bora tecno

Una hoja nzuri ila umewasilisha ndivyo sivyo.

Watu wengi wanalalamikia hizi brands kubwa hazikai na charge kwasababu wananunua simu za mkononi hawawezi ku-Afford simu mpya.

Huwezi kununua Galaxy S7 leo mkononi ikaacha kukusumbua charge.
 
Fundi Mjanjamjanja wa Simu anajaribu kuzungumzia mambo ya kijanjajanja ya simu..tatizo wabongo wengi ni kujifanya wajuaji sana wa hivi vitu wakati wengi ya hata hao wanaojiita mafundi wanabahatisha tuu..
 
Ukizungumzia wataalamu wa kukagua simu bila kuwataja gsmalena unakuwa haujawazungumzia wakagua simu kamili.
Je ww unaweza ukaniambia ni kwanini tecno infinix itel hawaja peleka simu zao gsmalena zikaguliwe?

Sent from my SM-G950F using Tapatalk
Haya muumini wa gsmarena.. Sasa hivi simu za tecno zinakua posted kwenye site 'yenu'.. Vipi una comment gani?

Tecno Camon 11 Pro - Full phone specifications
 
Haya muumini wa gsmarena.. Sasa hivi simu za tecno zinakua posted kwenye site 'yenu'.. Vipi una comment gani?

Tecno Camon 11 Pro - Full phone specifications
Tunashukuru tecno wameamua kuanza kupimana nguvu na makampuni makubwa. na kuruhusu simu zao zikakuliwe na ninadhani hii imechangiwa pakubwa na kelele za hapa jf.
Lakini cha kushangaza ni kwamba tecno wanamatoleo ya simu zaidi ya 60 lakini gsmarena wameweka matoleo 25 tu kwamaana hiyo hayo matoleo mengine ambazo hawajayaweka ni makopo.
 
Hadi simu inaitwa original inamaana kunasehemu
Lazima ipitie na ikaguliwe vya kutosha na wa ndio waseme kwamba hii simu ni original. Lakini tecno hizo sehemu tecno hawajazipeleka simu zao wanaogopa kuabika. kwa mfano ukiingia gsmalena ktk listi ya makampuni ya simu ambayo wanayakagua wao tecno sijui itel hazipo.


Sent from my SM-G950F using Tapatalk
ACHAAA UONGO,TECNO GSM WAPO
Leta uongo mwingine
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom