Recent content by Mr Lucifer

  1. M

    JamiiForums Tanzania Ushauri: Nina mimba ya mpenzi wangu wa zamani na mume wangu anajua kuwa ni yake

    Sijui kama naweza kukushauri ila ukweli japo utakuumiza wewe pamoja na mumeo hasa au wote wanne lakini utakuweka huru.
  2. M

    JamiiForums Tanzania Wako wapi hawa?

    Hahahahaaaaaaaaaaaaa
  3. M

    JamiiForums Tanzania Hotuba ya Muammar Gaddaffi ndiyo iliyonitoa machozi

    Hakuna Binadamu aliyekamilika,ila pamoja na madhaifu yake anapaswa kupongezwa,alikuwa anajua ni nini anafanya kwa ajili ya taifa lake na wananchi wake. Huyu jamaa namkubali sana.
  4. M

    JamiiForums Tanzania Kijarida cha Zama Zetu: Magufuli Kutikisa Taifa...

    Hahahahaaaaaaaaaaaa pole sana mkuu kumbe hata haka kakwangu kana uwezo zaidi.
  5. M

    JamiiForums Tanzania Naiona sasa ile heshima kwa shule za Serekali inarudi tena kwa kasi

    Heshima kwenu wana Jf, Kwa ufuatiliaji huu wa Serikali ya Mr Prezidaa naona idadi ya kupeleka watoto wao nje kusoma inapungua coz mianya inazibwa. Tutaheshimiana tu.
  6. M

    JamiiForums Tanzania Hodii

    Karibu sana,ushauri mzuri unapatikana kwangu.
  7. M

    JamiiForums Tanzania Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Man u mkitoka leo msije mkamtimua huyo babu.
  8. M

    JamiiForums Tanzania FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

    Hii timu inanipa raha sana.
  9. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba kubwa Nyegezi Mwanza

    Mkuu hilo jina lina nini mpaka nisiaminike?
  10. M

    JamiiForums Tanzania Nyumba kubwa Nyegezi Mwanza

    Mkuu ungepiga picha na hati ya nyumba ukatumiamo humu ungefanya jambo la mbolea sana.
  11. M

    JamiiForums Tanzania Mie ni mgeni wapendwa

    Nimekaribia babu.
  12. M

    JamiiForums Tanzania Mie ni mgeni wapendwa

    Jina lina nini?
  13. M

    JamiiForums Tanzania Mie ni mgeni wapendwa

    Kawaida ya wageni wastaaribu wakifika mahali hasa kwa jamii ya watu tofautitofauti ni lazima wajitambulishe,jina langu kama mnavoliona. Wadogo zangu,wajukuu zangu na msiokubali udogo naombeni ushirikiano wenu tafadhali. Hodiii.
Back
Top Bottom