Mzee Mwanakijiji
Platinum Member
- Mar 10, 2006
- 34,251
- 44,586
Kijarida chako hiki kipya ukipendacho ambacho kinaletwa na timu nzima ya OZ 2020 kina taarifa nyingine nyeti ambazo huwezi kuzipata kwenye gazeti jingine lolote (exclusive). Kina mijarada motomoto ambayo inajenga hoja maridadi. Hakikisha hukosi nakala yako hii ya bure popote pale ulipo penye mtandao wa intaneti.